Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but deni yao ni 250% ya gdp yao..iyo ni fact ata kama wanatengeneza hizo zote alafu deni ya kenya ni 54% sio 60
Unasemaje wewe? Ngoja nikubali tu kwa shingo upande kwamba deni lenu ni 54% sasa tuanze gdp ya japani ni ngapi
Japani GDP: 4,939,000,000,000 USD
Kenya GDP: 70,530,000,000 USD
Sasa wewe unaongea na japan. Ni mwehu tu anaweza komaa na swala hilo.
 
wasee mnafaa kuona hii...nmecheka yangu yote zip line ya mbao jooh..hii kwani iliundwa na walaji wa albino...hio si zip line...yani umetafuta hizo siku zote in the end umeget hii........enyewe tz ldc
huna hoja.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
this is a zip line...usitulete picha zinakaa 17 century
KEREITA FOREST HIKE & ZIP LINING 1.jpg
Untitled-4-700x850.png
zip-line-1024x768 Cropped-700x850.jpg
Zip-lining-mabira-forest.jpg
 
Unasemaje wewe? Ngoja nikubali tu kwa shingo upande kwamba deni lenu ni 54% sasa tuanze gdp ya japani ni ngapi
Japani GDP: 4,939,000,000,000 USD
Kenya GDP: 70,530,000,000 USD
Sasa wewe unaongea na japan. Ni mwehu tu anaweza komaa na swala hilo.
deni ya japan ni 12,347,500,000,000 mara 2.5 ya gdp yao..deni la kenya ni 0.54 ya gdp yao....iyo imeshinda kuelewa
 
deni ya japan ni 12,347,500,000,000 mara 2.5 ya gdp yao..deni la kenya ni 0.54 ya gdp yao....iyo imeshinda kuelewa
Nimekueleza Japan wanatengeneza magari, vifaa vya electronics, Meli, Silaha. Je, nyie kenya mtafanya nini kulipa deni hilo?
Sana sana mtaanza kuuza ardhi yenu au kuuzwa nyie muwe kama watumwa.
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
kolo una swali lingine kuhusu huu ujinga wako wa zip line in tz?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
72d3f9d7ecd9b272a15e60fc6c01f9d2.jpg
7e56d52c21dcd1ebcfbdec87c013187b.jpg
5443948cf37083aea734392c3f1bd8ae.jpg
unamuumiza sana collo😀😀😀😀😀😀😀
 
hiyo si shida ..shida ni gdp ya ya matrillioni wana deni 250% ya hiyo..period..deni yao ni 2.5 times ya gdp yao...so wakilipa deni wakitumia gdp(vile mnafikiria) gdp ya ni negative
japan inauwezo wakulipa hio deni kwasababu wana source nyingi sana za kulipa so usijifananishe kabisa😀😀😀
 
unamuumiza sana collo😀😀😀😀😀😀😀
hahahahaha... nimeona povu alilotoa sio la kawaida....ana hasira sana maana alidhani huo upuuzi wake unaoitwa "zipu laini" unapatikana kenya tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unasemaje wewe? Ngoja nikubali tu kwa shingo upande kwamba deni lenu ni 54% sasa tuanze gdp ya japani ni ngapi
Japani GDP: 4,939,000,000,000 USD
Kenya GDP: 70,530,000,000 USD
Sasa wewe unaongea na japan. Ni mwehu tu anaweza komaa na swala hilo.
img_0579-jpg.643674
 
Nimekueleza Japan wanatengeneza magari, vifaa vya electronics, Meli, Silaha. Je, nyie kenya mtafanya nini kulipa deni hilo?
Sana sana mtaanza kuuza ardhi yenu au kuuzwa nyie muwe kama watumwa.
sasa kwanini wana deni..acha upuzi..deni ni deni..250% ya gdp yao..ata sisi tunalima chai,flowers nk
 
sasa kwanini wana deni..acha upuzi..deni ni deni..250% ya gdp yao..ata sisi tunalima chai,flowers nk
Hahaha hata wao wanalima chai na flowers. Je, Hizo chai na flowers zinaingiza kiasi gani kwa mwaka? Na hayo mashamba yanamilkiwa na nani? Ukute 90% ya mashamba hayo yanawanufaisha wazungu nyie mnabaki na njaa huku deni almost 60% likiwakamua.
Niwekee mikakati yenu ipi ya kulilipa deni kubwa zaidi ya uwezo wenu.
 
hahahahahhah...chai ya wakulima wadogo hupea kenya usd 2b kila mwaka....KRA inacollect 1.5trillion ama 15b usd per year...kenya yaweza lipa deni yake sababu ni ndogo si ma trilluioni
 
Back
Top Bottom