Mji wa Dar is slum ni mji tupwa tupwa,hakuna majumba marefu yalojengwa na private corporations, na mwataka eti kuipiku Nai,upumbavu huo!Towers mbili tu zimewatia kiwewe huku sisi list ya magorofa tulonayo ni kubwa kupindukia.Hakuna jengo refu dar litakalozinduliwa hivi karibuni manake hats take off ya space ni shida tupu,mji wa mahame,building a ghost city with pathetic empty towers,sisi tuko na multinationas chungu nzima kuchukua space yote ndani ya 70 floor pinnacle na montage etc etc,kwenu nyie mtafanya yepi izo empty spaces zichukuliwe???