Siku zote mtu mpumbavu anadhani kila mtu ni mpumbavu kama yeye, Ninyi si ndiyo mliodanganywa na viongozi wenu kwamba Kenya haina umeme wa kutosha kuweza kujenga reli ya umeme, ghafla tu mliposikia Tanzania inajenga electrical railway mkabadilika kwamba na nyinyi mtaweka umeme baada ya miaka mitatu, kwani hamkulijua hilo kwamba baada ya miaka mitatu mtakuwa na umeme wa kutosha, kwanini msingeweka miundo mbinu ya umeme kabisa?
Kama kweli baada ya miaka mitatu mtakuwa na umeme wa kutosha, kwanini reli ya Nairobi kwenda Naivasha ambayo ujenzi wake utachukua miaka mitatu toka sasa wasijenge umeme kabisa wanaendelea kujenga ya Diesel?, ninyi kila kitu kwenu hakiwezikani hadi Tanzania ikifanya ndiyo mnaiga, mlishasema kwamba Tanzania ni LDC haiwezi kujenga electrical, mlipogundua imewezekana mnaamisha goli mnasema haiwezi bullet trains, mjinga mkubwa wewe, hii siyo Kenya, acha kulinganisha Tanzania na uchafu unaoitwa Kunya.