Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Waganda wanakwambia "Tugende Kenya"
Unadhani wana wana Akili basiHalafu hawajishitukii. Line zao za katikati ni njano na za pembeni ni Nyeupe. Sisi tunafuata standard ya SADC kuwa Pembeni Njano katikati Nyeupe.
Sonko alipigwa marufuku katika siasa za kenya, he can never hold any government office. Back to the subject. 😂😂😂
View: https://twitter.com/AbroadTanzania/status/1791123399043072322?t=A8CD8Sjo233IYolAAnTwsA&s=19
Kitu kimezima zima na hawajatoa explanation yeyote, kuna kitu wanaficha na tutajua 😅😅😅Eti linabembelezwa liamke!😂😂😂😂
Oh my goodness 😂😂😂
Hivi, wako na habari Museveni yupo Nairobi sasa hivi? Yani tumewatoa chakula mdomoni hivyo tu😂😂😂More bad news for the central corridor SGR… good luck when it reaches Burundi… count Rwanda out…🤣🤣🤣
View attachment 2991875
...Huwa sibishani na wapumbavu. Mtu hujui hata kuendesha gari unakuja kupiga kelele hapa Eboo!!!
Hebu tupatie Road yoyote ya kenya yenye Yellow lines pembezoni.
Nasikia mradi wa EACOP unahamishiwa Kenya, ha ha ha😎😎Hivi, wako na habari Museveni yupo Nairobi sasa hivi? Yani tumewatoa chakula mdomoni hivyo tu😂😂😂
Usishtuke hata hiyo tukiwanyang'anyaNasikia mradi wa EACOP unahamishiwa Kenya, ha ha ha😎😎
Acha hilo, wanajitekenya wakicheka. OP amepost picha akauliza location, wao kawaida yao na inferiority complex yao wanalalamika eti ameiba Barabara zao. Hawa jamaa bana.😂😂Who is muriuki mike?
Maneno mengi vitendo zero. As long as CAF have approved, wewe mnyaji wa flying toilets ni nani?It’s like dejavú again… Uswazi siyo slum… remember the daily question to Kenyans.. “ Kati yenu na mzungu Nani anajua zaidi”…. But still didn’t address the question coz Uswaziland is still a slum, Mzungu áseme ama asíseme….🤣🤣… Likewise , we can care less about what corrupt CAF officials say…I will defend Mkapa any day of the week , it’s a good stadium but Azam does not qualify as an international standard stadium.. period…..
Huwa sijadiliani na stupid.
Ahh kubababake humo Tu humo Tu🤣🤣🤣Wewe utapewa siku nyingine mwenyekiti 😂😂😂
Burret tireini imekwama ikiwa bado kwa trials😂😂😂
View: https://x.com/AbroadTanzania/status/1791123399043072322
Ex mayor wa chama gani, chadema au??🤣🤣Tuache kumsikiliza ex mayor wa ubongo mwenye ushawishi mkubwa twitter tukusikilize wewe unaeosha Matak.o ya ajuza marekani😃View attachment 2991790