Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No it has been working for the past 10 years. Burret Train in Tanzania will start working in 2030
View attachment 2989970
Kumbe you’ve also got these 1920s jalopies na hamsemi .😀😀😀
04C21A92-E25B-42B1-B66B-5ADE388A920B.jpeg
 
Hii picha Nina idownload for future reference

Reli yenu was unfinished na kutokujali ubora mkakimbilia kuanza operation.

Hapa ndio mwanzo wa Reli yenu? 😂😂😂😂😂

Awamu ya kwanza phase 1 and phase 2 Tumejenga marshalling yards mbili, ukubwa wake east and central Africa hakuna kabisa

View attachment 2989413

Now compare what we built and silly little thing ulichoshare.

We have another one in Dodoma, Isaka, Makutupora to Kigoma, and biggest differentiator ni kuwa sisi tuna aina mbili za station freight stations and passengers station, same to all marshalling yards zote ziko karibu na hizi station.

Kingine port link tunajenga separate line kabisa na kupunguza load sehemu moja tumewa port links kwenye freight stations

Kenya kwenye SGR na miundombinu ya kisasa na bora mpo Nyuma ya Tanzania miaka 100
That's not a marshalling yard but dry port area.
Na washenzi 9 wanalike.
Hii nchi imejaa kihiis tupu sana
 
That's not a marshalling yard but dry port area.
Na washenzi 9 wanalike.
Hii nchi imejaa kihiis tupu sana
🤣🤣🤣 kwamba hiyo ni dry port.? Waahh!! So poa .!! Hopefully haujachanganyikiwa. Dry port yetu inakaa hivi 👇
Kwala_Dry_Port.jpg
b6456-img-20200504-wa0120-jpg.2991000
 

Attachments

  • b6456-img-20200504-wa0120.jpg
    b6456-img-20200504-wa0120.jpg
    95.7 KB · Views: 20
Ikiwa hii ndio mitihani yao ya History form four huko kwao, usitarajie hawa mbwa kujua chochote kuhusu historia ya dunia na Africa 🤣🤣🤣 hizo maelezo wanapost wanaokota Google tu. 👇View attachment 2990987View attachment 2990991🤣🤣🤣 mtoto wa form one Tz anaeza buruza hizo mbuzi za kenya vibaya mno.
Manina, Paper gani la kiwaki hivi, Utopolo mtupu. Hapa unapiga msonge bila shida. BTW kama mtihani ndio huu wa Form four hawa nyumbu wamebarikiwa midomo tu, midomo mirefu.
 
Manina, Paper gani la kiwaki hivi, Utopolo mtupu. Hapa unapiga msonge bila shida. BTW kama mtihani ndio huu wa Form four hawa nyumbu wamebarikiwa midomo tu, midomo mirefu.
Upo shallow kama kindergarten quiz 😁😁 halafu wanasomea tu kuhusu Kijiji chao cha Kunyaland, waje wakutane na nondo huku tena hii ni mock, Unajua form 4 yao ndio ticket ya kwenda university, sasa hii ni form 4 yetu na bado ukifaulu huendi university 😁

HIST  4.jpg
HIST   3.jpg
HIST  2.jpg
 
Ilijengwa kuondoa msongamano wa magari Barabara ya chini.
Ingekua na magari mengi stuck kwa traffic tayari ingekua ishafail kwa basic design
Lakini kila picha iliyopo magari mengi yapo barabara za chini wakati juu ni kweupe. Nadhani watu wengi wanaogopa barabara ya juu kwa sababu ya ushuru mkubwa.
 
Back
Top Bottom