Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania Foreign Policy the Case of Economic Diplomacy​



1715681477397.png
 
Picha ya eneo moja unaupload mara mia just to prove a point!
Hio ilala bado kuna zile zile (financial centers) za dar slum kina kariakoo, tabata na upanga ambazo tusema😅. Mwambie alete ghorofa za kipawa, vingunguti, gongo la mboto

The wards are listed below:

 
TIC imekutana na wawekezaji na kuwapa muongozo wa kuwekeza nchini hasa kwenye sekta za viwanda, uvuvi, fedha, vifaa vya ujenzi na nishati safi. Wawekezaji waliletwa na China Council for promotion of international trade (CCPIT) jimbo la Foshan kwa lengo la kujadili masuala ya uwekezaji. Na katika mazungumzo hayo CCPIT wamekubaliana na TIC kuanza utaratibu wa kusaini makubaliano ya ushirikiano katika kuhamasisha uwekezaji kutoka Foshan.

1715681940474.png
 
Hio ilala bado kuna ile ile kina kariakoo, tabata na upanga ambazo tusema😅. Mwambie alete ghorofa za kipawa, vingunguti, gongo la mboto

The wards are listed below:

Westlands Constituency​

Tormenta en el paraíso (Storm over Paradise) 🤣 🤣 🤣 🤣


Wards
  1. Kitisuru
  2. Parklands/Highridge
  3. Karura
  4. Kangemi 👈👈👈👈
  5. Mountain View
 
Baada ya hii Movement tunayoenda nayo hatutaki kuongea na wakenya kuhusu utalii.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Utalii ya Yingke (Yingke Group), Mei Xiang Rong kuhusu kushirikiana katika Sekta ya Utalii hasa utangazaji utalii, utalii wa mikutano pamoja na kuwekeza nchini Tanzania katika Sekta hiyo kwenye kikao kilichofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini China leo Mei 14,2024.
1715682397714.png
 
Msiwaamshe.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi, China Youth Travel Service Tours Holding, Xu xi kuhusu kushirikiana katika Sekta ya utalii pamoja na kuwekeza nchini Tanzania katika Sekta hiyo katika kikao kilichofanyika CYTS Plaza nchini China leo Mei 14, 2024.



1715682669521.png



1715682718471.png
 
Kila kona tunapita. Tupo kwenye Clean Energy. Why Tanzania tu?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubiaViongozi mbalimbali, wadau wa Nishati na Washiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa Mei 14, 2024.
1715684564389.png
 

Summit on Clean Cooking in Africa​

Global leaders are coming together at our Summit on Clean Cooking in Africa to make 2024 a turning point on this critical health, gender & energy issue. Join our Executive Director Fatih Birol, President of Tanzania Samia Suluhu Hassan, Prime Minister of Norway Jonas Gahr Støre & African Development Bank President Akinwumi Adesina as they kick off the discussions.

1715686422286.png


 
Back
Top Bottom