Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upo shallow kama kindergarten quiz 😁😁 halafu wanasomea tu kuhusu Kijiji chao cha Kunyaland, waje wakutane na nondo huku tena hii ni mock, Unajua form 4 yao ndio ticket ya kwenda university, sasa hii ni form 4 yetu na bado ukifaulu huendi university 😁

View attachment 2991034View attachment 2991035View attachment 2991036
Yani High School kuna questions za choices?😂😂😂 No wonder most Tanzanians are stupid, hou can’t think on your own😂😂.

Choices questions ni exams za Primary School huku Kenya.
 
Lakini kila picha iliyopo magari mengi yapo barabara za chini wakati juu ni kweupe. Nadhani watu wengi wanaogopa barabara ya juu kwa sababu ya ushuru mkubwa.
Angalia angalia Video nyingi za hivi karibuni, Angalia vitu wanavyomiliki wao wenyewe 100% na Vya wageni walivyoweka kwao. Utajionea tofauti. Hata First word infrastructure inarudi mahala pake Third world 😂
 
Upo shallow kama kindergarten quiz 😁😁 halafu wanasomea tu kuhusu Kijiji chao cha Kunyaland, waje wakutane na nondo huku tena hii ni mock, Unajua form 4 yao ndio ticket ya kwenda university, sasa hii ni form 4 yetu na bado ukifaulu huendi university 😁

View attachment 2991034View attachment 2991035View attachment 2991036
Shit! KCSE mambo ya kitoto Kama ya underlining incorrect answers hakuna.Hayo maswali ungeuulizwa na utoe majibu manne correctly. Hayo ni mambo ya CBC😄
 
Shit! KCSE mambo ya kitoto Kama ya underlining incorrect answers hakuna.Hayo maswali ungeuulizwa na utoe majibu manne correctly. Hayo ni mambo ya CBC😄
Yani Highschooler anapewa multiple choice exam in this generagion? Kweli Tanzania is backward😂😂😂
 
Form 4 Histroy Paper 2 section A.

Hakuna mambo ya Multiple Choices hapa, kama huwezi fikiria pekee yako then you are dead. I’m sure Tanzanian can answer these questions without referring to google😂😂
1715798189077.jpeg
 
Ilijengwa kuondoa msongamano wa magari Barabara ya chini.
Ingekua na magari mengi stuck kwa traffic tayari ingekua ishafail kwa basic design
Ilijengwa na Nani?? Na kwann munalipia SASA?? Nyinyi akili zenu za kiwendawazimu kabisa 🤣🤣
 
Yani Highschooler anapewa multiple choice exam in this generagion? Kweli Tanzania is backward😂😂😂
Yani kama mtihani ni huo basi kila mkenya angekua graduate, jamaa wamezoea spoon feeding, very lazy
 
Yani High School kuna questions za choices?😂😂😂 No wonder most Tanzanians are stupid, hou can’t think on your own😂😂.

Choices questions ni exams za Primary School huku Kenya.
Mitihani yenu ni yakipumbavu mno 🤣🤣🤣 yani hata siku moja kwa Mitihani hiyo usitarajie kama ungepata hata C huku Bongo. 🤣🤣🤣
 
Tuletee zile ziko big cities.
Hio kwala dry port aliokuonesha iko 80 to 90km from dar es salaam city na dhumuni lake haswa ninkuondoa malori dar es salaam, Yani malori yote yanaishia kwala yanakula mzigo Huko huko na kuondoka, so train itakua inafanya route zakutoa mzigo dar port kupeleka kwala port, umenielewa sasa
 
Back
Top Bottom