Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiwa mgeni unaweza dhania Azam ndio serikali ya lazy land. Vitu vya GoT
images.jpeg
images-1.jpeg
IMG_20240514_183309.jpg
 
There are certain economists from south who believe it's because Kenya is taking loans😂😂😂
They forget their country is taking loans too yet their currency is depreciating
Bado hamjakoma tuu ku manage currency? Iacheni iwe free floating muone kama mna ubavu ama la?
 
MAKUMBUSHO YA CHINA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA

Na Mwandishi Wetu-Beijing

Makumbusho ya Taifa ya China na Tanzania zimekubaliana kushirikiana katika kubadilishana uzoefu, teknolojia na kuwa na maonesho ya pamoja kwa lengo la kuhakikisha kuwa huduma za makumbusho zinakuwa na faida kwa pande zote mbili za nchi hizo.

Makubaliano hayo yamefikiwa katika mazungumzo kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa la China, Gazo Zheng yaliyofanyika kwenye Makumbusho ya China jijini Beijing Mei 14,2024.

1715701747272.png
 
Back
Top Bottom