Hapa picha ya kwanza Temeke Chang'ombe na picha ya pili makazi ya Somangila Kigamboni Muongozo dege.
Na huko mvua hunyeesha na mafuriko hutokea ila husikii ghorofa likianguka.
Hapa picha ya kwanza Temeke Chang'ombe na picha ya pili makazi ya Somangila Kigamboni Muongozo dege.
Hapo ni Somangila Muongozo Kigamboni,maji hujaa kama kawaida mvua kubwa zikinyeesha,ila hutosikia ghorofa limeanguka.Leta tuone
Watu wako desperate sana huku🤣🤣🤣🤣
Tuonyeshe cluster kubwa ya gorofa sio hizi mbili tatu.Hapa picha ya kwanza Temeke Chang'ombe na picha ya pili makazi ya Somangila Kigamboni Muongozo dege.
Na huko mvua hunyeesha na mafuriko hutokea ila husikii ghorofa likianguka.View attachment 2989161View attachment 2989162
Wako na hasira kweli kweli🤣🤣Watu wako desperate sana huku🤣🤣🤣🤣
Tuonyeshe cluster kubwa ya gorofa sio hizi mbili tatu.
Unaona ulivyo punguani?Tuonyeshe cluster kubwa ya gorofa sio hizi mbili tatu.
Get an educationHatuoni Zile bus zenu pendwa gapo, zaidi ya makarai
Mna tabia ya kuangukoa pua! Tunajua mmewakaribisha kwavile mna-seek public sympath!Magufulis wife and daughter paid visit to Incoming AU chairmanView attachment 2989154
Namba zinaongea,haya yanafanyika awamu ya mama tuu 👇👇
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1789922170040164646?t=-gG_mM8iXsbAkNfOOkCVwQ&s=19
Huku kote mvua zikinyeesha hufurika ila husikii nyumba ikianguka.Tuonyeshe cluster kubwa ya gorofa sio hizi mbili tatu.
Mimi naona estate moja yenye gorofa kadhaa, bado hujaweka cluster. Na wala usijisumbue kabisa manake hutopata. Ghorofa kwenu kwa watu wa kariakoo, Posta na UpangaHuku kote mvua zikinyeesha hufurika ila husikii nyumba ikianguka.
Kwanini Kenya tu ndio zianguke!?
View attachment 2989181
📌📌📌🔨 nyundo 👇
View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1789929470834442342?t=QC5o8jLaZEb8qkELkO9AVw&s=19
My Take: Hizo PET SCAN ziongezeke walau Moja kwa Kila Hospital ya Kanda.
View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1789933458577371465?t=7IQ6Dp-yERhjZzCe18AxHA&s=19
Dar hakuna maghorofa bongolala.Unaona ulivyo punguani?
Hayo ni makazi yaliyojengwa na serikali kuna ghorofa zaidi ya hamsini hapo.
Huo ni urefu kwa upana huko na massive buildings.
Kwahiyo nilokuletea yale sio magorofa bali mahema!?Dar hakuna maghorofa bongolala.
Hebu leta hiyo picha ya magohorofa hamsini tuone
Nilikuitisha picha unaniletea ghorofa mbili tatu kando ya barabara alafu unatamna nayo hapa.
Show us a cluster like this one here. This is Zimmerman estate. Am sure most of you here have never even heard of that name before lakini angalia ujenzi hapo!
View attachment 2989209
Public schools in Tanzania 👇👇
View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1789870275007242580?t=iYOmK473wZ25ATvPZd23CQ&s=19
My Take: Shule kama hizi zimejengwa Mikoa yote Tanzania