Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Goat Husband ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Every time a Kenyan makes a real point, you Bongolalas always respond with Childish drag into the mudโ€ฆ you want us to lower ourselves to your childish levels so you can beat us with experienceโ€ฆ.hatuwezi take that bait..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kuna jamaa huyu hapa. Yumo humu hebu naomba umwite tuongee. NIlimpatia task akakimbia



 
Andika tu kwa kiswahili tutakuelewa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Again who doesnโ€™t know that Tanzania is backward?
Ni kama kuishi Tandale ununue suit na brief case, sasa unatembea Mtaani ati wewe ni Tajiriโ€ฆ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃโ€ฆ afadhali kupewa lift na gari ya pastor ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ..
 
Jengo lilikua abandoned watu wakaiba vyuma likaanguka. Nyumba hazianguki vingunguti je ni kwa sababu kuna ma engineer wazuri?
Kenya kila wakati majengo yenu yanaanguka.
Yes vingunguti kuna wahandisi wazuri ndio maana vingunguti hiyo hiyo inapatwa na mafuriko ila nyumba hazianguki.
Ndio ujue TZ tukijenga tumejenga.
Kenya kila mwaka ninyi jengo lazima lianguke shida nini kama sio mainjinia wabovu wa majengo!?
 
Ndondocha!
 
Huo uchumi wa Kenya kujenga kwa pesa ya serikali mutoe wapi!?
Kenyan government is a collapsed government.
Mbaya zaidi hizo zinazojengwa kwa PS huwa zinanufaisha wachache wenye pesa
 
Nilikuambia tuanzishe mjadala wa stadium ukakimbia ukahepa.
Kwa mambo ya Stadiums usijisumbue na mtanzania yeyote. Just ask them to post their top 10 Stadiums utaona wakipotea moja moja.
Anza kutaja tufananishe hapa kuanzia pitch,vyumba vya nguo na mengineyo ikiwemo idadi ya mashabiki uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ