Wakenya mbona mmegeuka majokers? Hii battle imekuwa ya kipumbavu kwa sasa mana utoto ni mwingi sn, hivi ni kweli kabisa tunashindana kuhusu diesel SGR vs electrified SGR?
Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu Konza au tatu vs Dodoma?
Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu soccer? Tuna ligi number 6 kwa ubora Africa, tumepeleka timu mbili robo fainali Africa, tumepeleka timu ya taifa Afcon, nchi pekee Africa mashariki?
Ni kweli tunabishana kuhusu sinotruck assembly plant? Mnalazimisha kwenu ipo wakati hakuna!!!
Huu ni utoto na ujinga wa kiwango cha juu sana, sikuwa najua kama wakenya ni wapumbavu kiasi hiki aisee.