Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We all know Kenya ndio inacontrol Tanzanian economy.

Ebu nitajie kampuni kumi pekee za Tanzania that are in Kenya alafu Mimi nikutajie 500 Kenyan companies operating in Tanzania.
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ndivyo mulidanganywa na rostam πŸ˜…πŸ˜…
 
Data from November 2023πŸ‘‡πŸ‘‡, wewe unatuonyesha old data. Hata huna aibu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kwani hujui kusoma na hio miaka yako yote.

GL4fxHQa4AAuz-b.jpg
 
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Wapi hiyo kampuni? Hiyo pesa imewekezwa wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kama wewe ni mwanaume ebu tuonyeshe hiyo kampuni.
 
Umesema Tanzania ni omba omba republic?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

By the way 41% of their budget is supported by grants and donations πŸ˜‚
Unajua awamu ya Tano iliyowapa pressure na ambayo imetengeneza nyundo ya kuwaulia ilikua haipendwi na Donors, hili bwawa tu alipata Upinzani.

Na ndiyo serikali ilikua na Miradi ya Matrilion na mikubwa mikubwa. Alafu akili yako inakwambia eti tunategemea Donors?.
 
Eeh! Ila ni kwamba after that We own them as whole. Ila nyie sasa GTC, EXPRESSWAY, SGR ni Zao na mnaendelea kulipia gharama.

Na ukiandangalia hivyo ndivyo vinawaweka mjini.
Mlisamehewa deni?

Hamngesamehewa bado mngekuwa mnang’Ang’Ana kulipa hadi wa leo.
 
Unajua awamu ya Tano iliyowapa pressure na ambayo imetengeneza nyundo ya kuwaulia ilikua haipendwi na Donors, hili bwawa tu alipata Upinzani.

Na ndiyo serikali ilikua na Miradi ya Matrilion na mikubwa mikubwa. Alafu akili yako inakwambia eti tunategemea Donors?.
Nani amekuambia hamkuwa mnapata donations and grants during Mqguguli time? Nitoe receipts?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

By the way all your major projects are all either loan, donations or grants.
 
Bring your evidence to dispute this πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£View attachment 2987981
Sijakuomba article. Nimekuambia utuonyeshe picture ya hiyo Kampuni. Does it exist?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Tuonyeshe tu hata kama ni gate yakeπŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu unaamini ati largest investment ever in Kenya while Expressway is $870MπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom