COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Sian Roses | Equator Flowers Kenya Limited farm in Eldoret since 1997 flower farming exported directly to Europe from eldoret international airport
Sian Roses | Equator Flowers Kenya Limited farm in Eldoret since 1997 flower farming exported directly to Europe from eldoret international airport
Kwani hakuna hossy private tzediHapa sasa unaongelea mambo ya kisiasa. Hizo ni issue za kisiasa ndugu. Usiziingize hapa. Hebu niambie ni kitu gani cha ziada wamefanya kwake?
Nitakuumiza sanaSian Roses | Equator Flowers Kenya Limited farm in Eldoret since 1997 flower farming exported directly to Europe from eldoret international airport
Kwa hiyo huna ushahidi?, kwasababu MK254 alijaribu kutafuta ushahidi aliposhindwa akakimbia, sasa kama na wewe huna ushahidi kubali tu kwamba Tanzania is a giant when it comes to better Public hospitalsMy friend tundu lisu alikimbia huku kufanya nini?
Haha ni pia poa kutoa quantity wana make
Sawa furahia sasa but the fact remains knh is the biggest followed by moi teaching and referral eldyKwa hiyo huna ushahidi?, kwasababu MK254 alijaribu kutafuta ushahidi aliposhindwa akakimbia, sasa kama na wewe huna ushahidi kubali tu kwamba Tanzania is a giant when it comes to better Public hospitals
Mtu ako hali maututi mnasema siasa...alikosa hosy tzNimekueleza hizo ni issue za siasa. Ni kutaka kujijenga kisiasa kupitia matukio. Ni kama Odinga kwenda kumsalimia Magufuli. Ni issue za kisiasa ndugu.
Mob hazina idadi au???? Kimji chenyewe kidogo sana alaf utuambie hakina idadi ya industries, nonsenseIndustries za eldy ni mob sana na inalisha Kenya yote..plus maziwa hukam hadi tz...flowers from around zinaexportiwa ..real estate yake ni noma sana and among the fastest growing
Bro usituekee plan sisi mambo ya renders hatutaki humu tunataka maendeleo yanayofanyika sasa😀😀😀😀
Haha my friend arusha nimekuambia bni utalii peke ndio itawai ldMob hazina idadi au???? Kimji chenyewe kidogo sana alaf utuambie hakina idadi ya industries, nonsense
To open maana yake bado haijaanza ujenzi sasa kama ujenzi ushaanza tuoneshe wapi wanajenga😀😀😀
Nioneshe wapi wanajenga fertilezer industry nasubiria hapa😀😀😀😀😀 alaf mm ntakuonesha fertilizer industry iko kwenye final touches ya ujenzi ambayo iko mtwara cost yake ni 3 billion usdHaha my friend arusha nimekuambia bni utalii peke ndio itawai ld
Subutu eldoret ishinde KIA haitatokea na hakuna mpnago huo😀😀😀😀Even Arusha wanakimbia sana...ndio mana nilikwambia eld haiwez zidi Arusha, issue za maziwa uku tz watu wengi sana hutumia local products Za maziwa yaani maziwa packed kabisa ni watu wachache ndio hupendelea, kuna maziwa mengi sana mitaani localy made ...
Arusha hutumia KIA ni usawa wa km 40 hivi kwahyo hakuna international airport ,Mayb uje one facts eld inazidi KIA unless nmekumaliza tayar
Hahahha wapi wanajenga sisi tunakuonesha viwanda wewe unatuonesha renders ambazo mpaka leo haziko implemented bro be seriousIndustries arusha haitoweza eldy
Cheap fertiliser beckons as Toyota kicks off Sh123bn Eldoret
Aliekwambia moshi hakuna international airport nani we unafkiri KIA iko wapi??????Moshi iko chini sana brathe.. Sasa ata tukianza na international airport moshi itajitetea aje then 26 floor 19 floor 17 floor si itakua rape case kwa moshi