Sasa hizo ndizo akili za wakenya, huku kwetu tunawachukulia wakenya kama ni watu very primitive, sasa wewe pesa kuwa na nguvu ina maanisha nini?, pesa nyingi za waarabu zina nguvu kuliko pesa ya Japan, China na USA, je hiyo ina maana gani?, Ethiopia pesa yao ina nguvu sana kuliko ya Kenya.
Sisi tunawachukulia wakenya kuwa ni very primitive people kwasababu, haiwezikani katika dunia hii ya teknolojia bado watu wanabaguana na kuuwana kwa misingi ya kabila, leo hii hapo Mombasa mnauliwa kama wanyama wa porini, huku alshabaab, huku polisi wanaua washukiwa wa alshabaab, huku ujambazi, nyinyi bado ni primitive sana