Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu wewe mbwa c ulisema ni $1.2B 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Writing error. Kama uliamini shauri Yako.

Again why sudden change of tone? KBC remains to be the king of KFK matches broadcaster. Azam are just brought as an alternative.
 
Asante Azam TV 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Uwanja hata mashabiki 100 hawafiki 😅😅
20240511_143308.jpg
 
Sauti imechange after umeona KBC is injecting more money to FKF kuliko Azam😂😂😂.
Heheheeee kwnn wanafanya risk taking, wanaogopa nn? Kwnn wasitoe pesa kamili? Alafu walikuwa wapi by the time bingwa wa Kenya ligi anapewa TZS 20m, mnajitutumua wakati uwezo hauruusu ndiyo maana huwa mnafeli katika kila jambo, hivi leo hii Azam akiacha kurusha mechi za ligi yenu KBC ataweza? Na kama ataweza alishindwa nn hapo mwanzo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Writing error. Kama uliamini shauri Yako.

Again why sudden change of tone? KBC remains to be the king of KFK matches broadcaster. Azam are just brought as an alternative.
Sio writing error sema ulikurupuka mnuka mavi kama kawaida yako, again Azam ametoa $7.6m kuonesha ligi yenu hakuna broadcaster mwengine mwenye uwezo huo, kama yupo nioneshe, alafu pia ni fahari kubwa Tanzanian company ku dominate everything in kenyan league 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
How will you compare Ksh 1.6B ya KBC na Ksh 800M ya Azam? Akili inakusaidia kweli?
 
Afcon tutaandaa pekeetu mtake msitake, kwasababu mwaka huo utakuwa wa uchaguzi Kenya vurugu zitatawala kila kona, hakuna chizi ataleta timu huko kwenu.
Mtatuabisha bana hio stadium ni ndogo na imejengwa uswazini😅😅😅
 
How will you compare Ksh 1.6B ya KBC na Ksh 800M ya Azam? Akili inakusaidia kweli?
Onesha iyo ksh 1.6b, chizi gn ata inject hiyo pesa kwenye ligi dhaifu kama ya Kenya? Ligi ambayo haina uhakika kama itapigwa ban ama la kutokana na viwanja kuwa vibovu na mazingira kuwa hovyo, by the way last time I checked Kenyan league haipo hata 20 bora za ligi bora Afrika, nani ataweka pesa nyingi huko? Azam tu ambaye ame take over huko kwenu kaweka only $7.6m wakati Tanzania kaweka zaidi ya $80m 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom