Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Someone said that Dodoma's roads can compete those at Konza. Una CCM walivyofanya Watz kuwa mazuzu!?
Ona barabara za Konza
View attachment 2987660
Kundustan hamuiwezi Dom tulieni hivyo hivyo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C60oMkWNlyF/?igsh=MThjbmc3MjdkNHplYw==
-554207624.jpg
-558533037.jpg
1509472896.jpg
 
They are always lazy and don't do thorough research 😂😂.

This is a little known and upcoming streaming channels.
View attachment 2987592View attachment 2987597
Sasa inatakiwa ujiulize swali dogo tu, kama mna streaming channel nzr why Azam akaja ku take over huko kwenu? Mwaka wa 2024 na bado foreign broadcaster ana take over kwenye soccer industry yenu? Sisi huku kwetu tulimtoa msauzi tukamuweka mzalendo nyie mpaka leo mnampa haki zote mgeni really? Na ameingia mkataba wa pesa nyingi $7.6M pesa ambayo hakuna channel yoyote inaweza kutoa hapo Kenya.
 
Vyakwenu viko wapi mbona mnaenda Malawi kuomba uwanja wa kuchezea
AVA is assembling more than 3,000 vehicles in a year.

Wavumilieni wamechanganyikiwa Sana 😅

Yani wameumia Sana na hii taarifa 😅😅😅

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1788835146331820302?t=cd3TMJ09aIshZl9tCAnM7g&s=19

Makwapa
Aman
Azam Stadium

Makwapa na Aman ndio at least zimejaribu. Zingine zote kuanzia Azam ni shamba ya kupandia ndizi😂😂
 
Sasa inatakiwa ujiulize swali dogo tu, kama mna streaming channel nzr why Azam akaja ku take over huko kwenu? Mwaka wa 2024 na bado foreign broadcaster ana take over kwenye soccer industry yenu? Sisi huku kwetu tulimtoa msauzi tukamuweka mzalendo nyie mpaka leo mnampa haki zote mgeni really? Na ameingia mkataba wa pesa nyingi $7.6M pesa ambayo hakuna channel yoyote inaweza kutoa hapo Kenya.
Manchester City is sponsored by Etihad airways while there are bigger companies in UK than Etihad Airways ningekuambia ujiulize lakini najua your foolish and you can't think beyond food and uzalendo.
 
Sawa lkn kwa sasa haiwezi kuifikia Azam hata iweje mzee, KBC ni government owned, Azam ni private owned kiafrika Africa shirika haliwezi kushindana na private company hata iweje mzee.
But KBC is bigger than Azam. KBC is injecting more money in Kenyan league than Azam.
 
Back
Top Bottom