Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao watu wanaunganisha gari tano kwa siku pekee😂😂😂. Kama kwa mwezi wameunganisha lory 150, kwa siku si hiyo itakuwa 150/30=5😂😂
Screenshots_2024-05-10-19-47-01.png
 
According to this, first truck was assembled in March. From March to May is 2 months and within those 2 months wameunganisha 150 trucks. Meaning wanaunganisha lory mbili kwa siku😂😂😂😂
 
Hakuna biashara ya magari kwao ndio maana unaona hata AVA hua ana assemble gari kwa order maalum lakini sio official kua anatambulika na hzo kampuni never ever 😅😅
Sasa utawekeza aje mabilioni mahali hakuna biashara? Kama hakuna biashara ya malori kwetu mbona haya makampuni yote yaliamua kuinvest Kenya wala sio Tanzania ambapo biashara ya malori iko? Watanzania desperation na wivu zitawaua🤣
 
They like to believe what they think and they you dispute their belief you automatically become their enemy 😂😂😂.
 
Back
Top Bottom