much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,549
Kwenye makaratasi?Ujenzi uko pale pale
Kwenye makaratasi?Ujenzi uko pale pale
Tizama pitch SASA 😅😅😅 utasema majaruba ya mpunga alaf munawatukana CAF nyinyi munafkiri CAF ni wajinga SanaNdio hii hapa🤣🤣🤣🤣
View attachment 2981982
Hii hata Kirigiti stadium looks better in every aspectView attachment 2982487
😀 😀 😀 😀 Kazi uliyojibebesha ni ngumu mno.Tumechoka na sifa zenu za grazing sheds
Standards zote za kimataifa wakati vilaza wananyeshewa na kupigwa na jua wakitazama mpira 😂Inachukua watazamaji 10,000 na SASA expansion inafanyika kufikisha 20,000
Na CAF wanaitambua na ina standard zote za kimataifa 😅😅😅😅😅😅😅
Hizo ni Easy Coach pekee.
Tanzania hatuna Easy Coach kijana. Usiifananishe Tanzania na mambo ya Kipuuzi.Hizo ni Easy Coach pekee.
Hebu taja hzo standards tuone Azam complex inayo au haina ?? Nitajie tano Tu plz nasubiria 😅😅😅😅😅😅Standards zote za kimataifa wakati vilaza wananyeshewa na kupigwa na jua wakitazama mpira 😂View attachment 2982491
Bus zenyewe ndio zile Isuzu za passenger 35Hizo ni Easy Coach pekee.
kwahiyo uhasama umefanya train isione lori au kutokuwapo signaling equipments?Tatizo pia ni uhasama kati ya NDC na NPP. Siasa mbele badala ya mendeleo kwa wote.
Bongolala, huo uwanja Iko na paa all round sio kama lile zizi lenu tena inapatikana mbali sana na Nairobi. And this is how the pitch looks like currentlyTizama pitch SASA 😅😅😅 utasema majaruba ya mpunga alaf munawatukana CAF nyinyi munafkiri CAF ni wajinga Sana
View attachment 2982488
Wako desperate sana these creatures from southWako humu wanashare mafuriko ya Kenya.😂😂
Unatuonesha dandora stadium ya 3000 capacity 😅😅😅 hvi kwann nyinyi hua hamuko serious kwenye mambo yenu, kila kitu kwenu ni fake kwann?? Aliewaroga ni Nani kondoo nyinyiBongolala, huo uwanja Iko na paa all round sio kama lile zizi lenu tena inapatikana mbali sana na Nairobi. And this is how the pitch looks like currentlyView attachment 2982506
Azam is a child's play kulinganisha na Dandora stadium. If it's about the pitch, this is Dandora stadi pitch. Sasa linganisha na Ile kituko chenu you call a complexView attachment 2982502View attachment 2982503View attachment 2982504
Huo uchafu inakukosesha usingizi unatamani tu kurudi kwenu YemenHahaha eti naumia nacheka Sana siku hzi mumegeuka kua comedians humu ndani😅😅
Munajenga uchafu gani hio alaf CAF ikiwanyima approval munaanza matusi
Sasa mbona nasikia timu yenu imekimbilia Malawi?Huo uchafu inakukosesha usingizi unatamani tu kurudi kwenu Yemen
What is fake about Dandora stadium?Unatuonesha dandora stadium ya 3000 capacity 😅😅😅 hvi kwann nyinyi hua hamuko serious kwenye mambo yenu, kila kitu kwenu ni fake kwann?? Aliewaroga ni Nani kondoo nyinyi