Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sharp increase Iko wapi hapo kutoka 2200 Hadi 2600 tofauti ya Shilingi 400 Kwa miaka 4 Kuna usharp upi hapo?

Pili kumbe Dola imewahi kubadiloshwa Kwa 2,700?
Twende pole pole namba hazidanganyi....

Dec 30th 2015 dola ilikuwa 2155/-
Mar 19th 2021 Dola ilikuwa 2314/-
Apr 23th 2024 Dola ilikuwa 2585/-

Kipindi cha Magu (miaka mitano na miezi minne), shilingi iliporomoka kwa 2314 -2155 = 159
kipindi cha mama (miaka mitatu na mwezi), shilingi imeporomoka kwa 2585 - 2314 = 271

Hii ni karibu mara mbili kwa miaka mitatu tuu, huoni kwa mwendo huo shilingi itaporomoka karibu mara nne baada ya miaka mitano ya uongozi wake?

Uchumi gani huo unaousifia?
 
Today I realized that Tanzanians hawajui what Locomotives and Multiple Units are, they also don’t know what passing loops are😂😂

View attachment 2973822
Wewe unajua nini kuhusu multiple units 😂😂😂 unaishia ku Google tu. Shamba boy. 👇 empty talks always. Chiki actual development hiyo.
EMU-trains-6-1080x675.jpg
 
Hakuna treni itasimama kusubiri nyingine Hilo nakuhakikishia asilimia 100🤣🤣🤣🤣

Eti treni isimame isubiri nyingine nimecheka Sana kaaaaaah😅😅😅😅😅😅😅
Says a man from Yemen with no idea how trains operate.😂😂

As long as the line is single the loops ni za kusimamia ukingoja train ingine ipite 😂😂

IMG_0165.jpeg
 
ichoboy01 do you now understand a passing loop ama huelewi anything?😂😂

Ulisema there’s no stopping?😂😂

IMG_0166.png
 
Tunapigizana kelele na mbwa tu 😂😂😂.. this is why the railway track from dar to morogoro is 300km. Njia za kupishania zenye huyu mnuka mavi Teargas knows nothing about.. 👇View attachment 2973854View attachment 2973855View attachment 2973857View attachment 2973861.. 👇
View: https://youtu.be/HyLApvNWmXU?si=xIlK5RmugMpQ2pVl. Hii video inaeleza zile 95km njia za kupishanisha train zinakua.

Tunaongelea passing loops wewe unatuekea Marshaling Yards. Nilikuambie uende shule uache kujiaibisha hivi, do you even know what a marshaling yard is and it’s function?
 
Tunaongelea passing loops wewe unatuekea Marshaling Yards. Nilikuambie uende shule uache kujiaibisha hivi, do you even know what a marshaling yard is and it’s function?

I confused Passing loop ya Tanzania na ya Kenya. Tanzanian passing loops are 400m each and not 2km😂😂
😂😂😂ile video ulifungua wew village boi.?
 
Tunapigizana kelele na mbwa tu 😂😂😂.. this is why the railway track from dar to morogoro is 300km. Njia za kupishania zenye huyu mnuka mavi Teargas knows nothing about.. 👇View attachment 2973854View attachment 2973855View attachment 2973857View attachment 2973861.. 👇
View: https://youtu.be/HyLApvNWmXU?si=xIlK5RmugMpQ2pVl. Hii video inaeleza zile 95km njia za kupishanisha train zinakua.

Anakwambia eti treni itasimama isubiri nyingine ipite Yani nimecheka Sana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom