Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta projects kijana zenye value kubwa. Unaogopa? Hapo kenya hakuna Mega Projects

These are mega Projects currently going on in Tanzania

1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B

Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $18.54B

Tunataka wakenya walete projects zinazofikia hiyo pesa ndio tuendelee na mambo mengine.
Hawezi leta huyu nyang'au hata siku moja; ni sawa na kumwambia alete picha ya stendi😎
 
Wakenya just to remind you

Wakati tunajenga Reli, Bwawa Barabara, Madaraja, BRT na miradi mingi ya kimkakati, ambayo ni ya malengo ya miaka 100

Nyie humu mnapost magorofa ya kupangisha ambayo wengi wenu humu hamtawahi kuishi humo, kipindi Cha nyuma hapo mlikuwa mnapost express way ambayo imeprove haikuwa necessary at all.

Now mradi wenu mkubwa kabisa ni uwanja wa mpira, ambapo sisi tuna project za aina hiyo zaidi ya 5 ukiacha timu Binafsi.

Wakenya hamuoni mnatatizo la Uongozi? Uongozi wenu umekuwa unasimamia basic staff but not future of your country
Mibongolalala Kwa kujifariji hamjamb!

Hivi, ukiondoa BRT ni mradi gani uliyotaja hapo Tanganyika haifanyiki Kenya? Je, ni mabwawa, barabara, sgr ama nini haswa?
 
Kenyan Youths are making their own tournament. They have organized a car competition which attracts a good support base.

View: https://x.com/Kevoh_254/status/1787143741565808970

Ongezea na Government City (Dodoma) $4.7 billion

Leta projects kijana zenye value kubwa. Unaogopa? Hapo kenya hakuna Mega Projects

These are mega Projects currently going on in Tanzania

1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B

Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $23.24B

Tunataka wakenya walete projects zinazofikia hiyo pesa ndio tuendelee na mambo mengine.
 
Mibongolalala Kwa kujifariji hamjamb!

Hivi, ukiondoa BRT ni mradi gani uliyotaja hapo Tanganyika haifanyiki Kenya? Je, ni mabwawa, barabara, sgr ama nini haswa?
Bado hatujataja BRT

Ongezea na Government City (Dodoma) $4.7 billion

Leta projects kijana zenye value kubwa. Unaogopa? Hapo kenya hakuna Mega Projects

These are mega Projects currently going on in Tanzania

1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
4. Government City (Dodoma) $4.7B

Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $23.24B

Tunataka wakenya walete projects zinazofikia hiyo pesa ndio tuendelee na mambo mengine.
 
Tukiongezea na project ya (Tanzania LNG project) $42B

These are mega Projects currently going on in Tanzania

1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
4. Government City (Dodoma) $4.7B
5. Tanzania LNG project $42B - Ipo kwenye pipeline

Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $65.24B
 
Hii inaitwa funga kazi, ha ha ha😎
 
Azam iko na viti?😂😂
Mzee usijifanye huoni 👇 👇 👇 👇
These are mega Projects currently going on in Tanzania

1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
4. Government City (Dodoma) $4.7B
5. Tanzania LNG project $42B - Ipo kwenye pipeline

Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $65.24B
 
Tunaongezea pia
Sino Tan Kibaha Industrial Park $3.3B

These are mega Projects currently going on in Tanzania

1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
4. Government City (Dodoma) $4.7B
5. Tanzania LNG project $42B - Ipo kwenye pipeline
6. Sino Tan Kibaha Industrial Park $3.3B

Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $68.54B
 
Back
Top Bottom