President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,623
- 94,223
Najua mkuu,ila yeye kasema Tanzania Samia ndio rais pekee aliyefanya transformation,na mimi nikamtolea mfano jumuishi baina ya Samia na watangulizi wake(Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Magufuli) nani aliwekeza mambo muhimu katika afya?Hospitali za JKCI na Mloganzila ni awamu ya Kikwete si Magufuli!
Jamaa wapumbavu hawa, hivi wako serious kweli, phase II ishakamnilika ila watu wasubiri mwaka mzima ili kuanza kutumia! Ndo akili gani hii??
Mt Kenya sio?
Mabasi yamefika?Jamaa wapumbavu hawa, hivi wako serious kweli, phase II ishakamnilika ila watu wasubiri mwaka mzima ili kuanza kutumia! Ndo akili gani hii??
Kama hawawezi si watoe miundombinu kwa watu binafsi!
Hawa jamaa wajinga kweli!!
Ah ah, Mt. Kilimanjaro hiyo.Mt Kenya sio?
😂 wabongo hatari sana 😃Wakenya wasione hii plz 😅😅😅
View attachment 2979713
Huu uwanja kuna Kima mmoja wa Kenya huwa anaupost, na ni moja ya viwanja vyao vipya and finest,
Ni kweli BRT Phase 2 imesuasua sana hata ujenzi wake ulikuwa ni wakijua kali sana! kuanzia kwenye mobilatizion ya equipments, vituo kama zahanati au wodi ya wazazi, Sijui kwa nini Hayati hakuwatia nyundo mapema mapema alikuwa anawazoom tuHao watu baada ya kujenga Mwendokasi mbagala low quality na vibanda vya kuku kama bus stop. Naona ni kampuni la ovyo bila kusahau Kulipa wafanyakazi wake 18000 kwa siku.
Yeah.Mt Kenya sio?
Safi sana mkuu 🙏Utakuta wameharibu makusudi kabisa ili wafanye hayo.
Nimeruka nayo anyway.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1786780711506112799