Maelezo yako yanajitosheleza, tunashukuru sana jinsi unavyonyambulisha.Sawa no problem.
Anyway mafuriko yakiwa Dar yanalipotiwa maana bila kuripotiwa tutakwepaje njia sumbufu.
Now ni siku kama nne toka mvua ikate tumerudi kule kwa Joto kali. Sometimes unatamani tena mvua. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Dar.
Nenda Miradi ayo scroll downs utaona mafuriko, unazani hii serikali iliyojaa kusifu watazibia mafuriko ambayo yatawapa airtime ya kusifu.
Toka mvua ipige kuna maeneo yalikua hit sana.
Hanang Manyara, taarifa zipo humu hadi uokoji, misaada, na after mafuriko report ya ukarabati na ukabidhi wa kaya, ardhi kwa wananchi.
Next ni Rufiji, ni ya juzi tu na ilisingiziwa bwawa la nyerere na kelele nyingi.
Ila serikali ilifika na kutoa msaada.
Wanaofata Bonde la mto msimbazi watu wabishi walishwalipwa na kupewa viwanja lakini wakauza wakarudi bomoa bomoa ilishapitishwa ila siasa na kurudi inakua janga.
Anyway kupunguza majanga hayo mto ulijengewa kingo, kuanzia KIMARA-SINZA-TANDALE-MAGOMENI-JANGWANI.
Na huo mto umekua connected na mitaro mingi ya barabara kuondoa maji yaliyokua yanatuama.
Badala ya kama zamani maji kuwreck havock kwa makazi ya watu now yananyoosha mpaka baharini. Isipokua hapo Jangwani plan ya Daraja kubwa ipo ila wanajivuta may be kwa sababu mvua ikiisha mambo yanarudi kama zamani, na walihamisha UDART kwenda Ubungo.
Mzee unahangaika na BofuloTunazungumzia uhalisia Nani mkubwa Kati ya waziri wa ulinzi au kiongozi wa jeshi la anga nijibu kisomi kenge wewe๐ ๐ ๐ ๐
Punguza mihemuko isiokua na tija
Hao watu baada ya kujenga Mwendokasi mbagala low quality na vibanda vya kuku kama bus stop. Naona ni kampuni la ovyo bila kusahau Kulipa wafanyakazi wake 18000 kwa siku.
Mara moja moja huwa unaouna mwezi, nakubaliana na wewe 100%.Utalii Kwa Tzn walishakariri kwamba ni Serengeti, Ngorongo na Zanzibar ila Kuna mambo mengi ya maana ya kufanya.
Akili zangu jumlisha ukoo wenu na WA mkeoMara moja moja huwa unaouna mwezi, nakubaliana na wewe 100%.
Hao ni best Rushwa provider au wanatumiwa na vigogo Serikalini.
Uhalisia ndio huo Sasa wa Kuongoza vikosi ,sio stori za makaratasiTunazungumzia uhalisia Nani mkubwa Kati ya waziri wa ulinzi au kiongozi wa jeshi la anga nijibu kisomi kenge wewe๐ ๐ ๐ ๐
Punguza mihemuko isiokua na tija
Vyovyote utakavyojisikia, we jipe raha tuu.Akili zangu jumlisha ukoo wenu na WA mkeo
Umeona enhee ni watu wa Rushwa!Hao watu baada ya kujenga Mwendokasi mbagala low quality na vibanda vya kuku kama bus stop. Naona ni kampuni la ovyo bila kusahau Kulipa wafanyakazi wake 18000 kwa siku.
Ndiyo hivyo, wakati mwingine mambo yakienda kombo inachukua muda kurudi kwenye reli. Hata Coastal union ilichukua muda kurudi ligi kuu baada ya kuporomoka daraja.Baada ya Miaka 22?
Kama China mwanangu โค๏ธ โค๏ธ ๐ ๐ ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅKama ulaya mwanangu (kwa sauti ya the best)
Taja nchi mmoja iliongozwa na mwanamke ikafaulu moja Tu Nasubiri ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Unajua historia za Nchi hizo au unajiongelesha tuu?
Pili kati ya Viongozi 100 wa kiume unaweza Kuta ni 2 tuu ndio waungwana wengine wote ni washenzi.
Viongozi wengi wangekuwa Wanawake,Dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi.
Nilikuuliza wametokea which ethnicity!?Maswali yako mengi huwa ya ujinga ndio maana huwa sikujibu. Hivi bado unaamini Yoruba ni Bantu?
Aloo huyu jamaa kanitia wasiwasi Sana labda na nayeye ni mzee wa stop engine na miruzi ๐ ๐ ๐Mzee unahangaika na Bofulo
Mkuu kuna muda tumia akili kutafakari sio mihemko.Unajua historia za Nchi hizo au unajiongelesha tuu?
Pili kati ya Viongozi 100 wa kiume unaweza Kuta ni 2 tuu ndio waungwana wengine wote ni washenzi.
Viongozi wengi wangekuwa Wanawake,Dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi.