Anazingua huyo muulize TEMBO NICKEL, TWIGA MINERALS zilitoka wapi?Uachage ufala we jamaa.
1)Kama Magufuli asingeleta refinery kubwa ya kurefine gold 99.99 pure,Tanzania tungeuza wapi Dhahabu kwa thamani ya soko ya dunia!?Ilikua kuichenjua hiyo dhahabu mpaka tutumie njia mbadala ikiwemo kuiuza kwa bei pungufu ikachenjuliwe nje.Ila Magufuli alinunua mtambo ikawa inachenjuliwa hapa hapa na inakua safi 99.99 pure.
2)Uzalishaji wa dhahabu uliongezeka kwa kuwapa mikopo na kuwawekea mazingira rahisishi wachimbaji wadogo wadogo na wachuuzi pia,kipindi cha nyuma ilikua ukiwa na dhahabu ama madini yeyote kama hauna leseni hauuzi na unakamatwa,hiyo imesababisha watu wauze kwa wafanyabiashara wenye leseni kwa bei chee,na wafanyabiashara wanakata kibali wanauza nje.Ila sasa hivi hata kama hauna leseni unaenda ofisi za tume ya madini unauza wanakukata 10% ya VAT unaondoka.
3)Wachimbaji wadogo walipewa mikopo rahisi ili kuboost uzalishaji.
4)Makinikia yalikua yakipelekwa nje kuchenjuliwa ila Magufuli alihimiza yachenjuliwe ndani na elimu na vifaa vya uchenjuliaji vikawepo,hivi unajua kama unapoozesha makinikia kwenye karo baada ya muda unaweza otesha dhahabu kwa yale mabaki!?
Elezea Samia kafanya nini kuongeza pato la madini??
Mie nasubiri hapa
January 31!Flood deniers kumbe pia nyinyi reli yenu inaenda maji, au mutasema ni Nigeria. π π π π
View: https://x.com/Chriss104/status/1752743372891062475
Mbona umejikaanga mwenyewe sasa.Unaongea kama mjinga,kabla ya refinery tulikuwa hatuuzi Dhahabu? By the way hizo refinery zenyewe Zina underperform sana hata nusu ya uwezo wake hazisafishi Kwa sababu watu Bado Wana export Nje Kwa kuwa wanasema mazingira sio rafiki sana.
Mwisho onesha Wachimbaji wadogo wakipewa mikopo rahisi Ili niweke takwimu sawa.
LUX ngapi?Watchman mambo vipi? Taa kama hizi utapata kwa stadium gani Tanzania?πππ
Mtuambie Nini Sasa wee Guesthouse?On Alert...
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1786049161202122927
Mbwa za Kikunya NairobiWalker n Teargas zisije kusema hatukuwaambia
taa zisizowaka hamna mahali utapata Tanzania!Watchman mambo vipi? Taa kama hizi utapata kwa stadium gani Tanzania?πππ
enda ondoa nyanya yako downstream or lower stream areas!Mtuambie Nini Sasa wee Guesthouse?
We nawe vipi? AMAHORO, NAMBOOLE, NAKIVUBO mwaka huu ndio vimekamilika, subiri ripoti ya Approved mwaka huu.Hapo CAF kuna walaji wa Mlungula ajab. Yani hiki kidude kiwe approved na Namboole, Nakivubo, Amahoro, Nyayo zisiwe approved? Hapa kuna corruption ajabu. Kumbuka hata pale FIFA kumekuwa na cases za corruption nyingi sana alafu hiyo Azam inamilikiwa na mtu binafsi. Hapo kutoa mlungula ni rahisi sana.
Basi acheni kujenga Talanta, kufanyia ukarabati Nyayo na Kasarani. Mkawashtaki sasa FIFA, au mahakama ya Michezo.CAF IS just piece of shit...corrupt to the core
enda ondoa nyanya yako lowstream!
Floodplain zone areas in lower stream areas!Ni downstream, si lowstream. Peleka kiingereza chako uchwara kule.