Hii ni sapphire nilokwambia.Kwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇View attachment 2978655View attachment 2978656View attachment 2978657
Shida yako una ujuaji mwingi halafu hauna unalolijua.Germstone ni valueless usinipotezee mda.
Back kwenye main topic,kazi inaendelea 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C6ahLntNlTN/?igsh=MTJqZzJpeG9lb2w2bQ==
Kwa hiyo Zina thamani kuzidi Madini mkakati na gold? Germstone ni valueless na vulnerable to price fluctuations ndio maana hazitumiwi hata kwenye kutunza thamani ya pesa au forex reserves.Hii ni sapphire nilokwambia.
Zipo blue,pink na kijani.
Ya kijani ndio yenye thamani zaidi.
Hizo hapo ni pink sapphire gram moja ni $ 980 kama walivyoeleza hapo.
Ibadili iende kwa shilingi za kiTanzania ni milioni na kitu.
Kitu cha mwisho cha kukueleza.
Serikali inajikita katika dhahabu kwasababu dhahabu ndio madini yanayofaa thamani yake kwa mbadilishano na fedha,na kwa kuwa na higher durability ndio madini yaliyochaguliwa kuwa mbadilishano na fedha na kuwa sehemu ya hazina kwa sababu tatu.
1)Dhahabu ina wepesi kuipata.
2)Dhahabu ina wepesi kuihifadhi na ikabaki kuwa bora.
3)Dhahabu haina process nyingi na iko na characteristics moja kwa kila aina ya dhahabu,ipige moto inakua safi,sio kama gemstone kutunza gharama pia hainaga durability.
Ndio maana gemstone huuzwa sana nje kwasababu ya mapambo.
Leseni ya mchuuzi wa dhahabu ni Tzsh 250,000.
Leseni ya mchuuzi wa gemstone za bei ya juu (Almasi,sapphire,ruby,Tanzanite) ni Tzsh 1,800,000.
Labda wawe wamebadilisha.
Kaulizie watu wa madini kama nimeongopa uje unikosoe.View attachment 2978675
Picha inayofuata chini ni ruby iliofanyiwa mnada itizame thamani yake.
HIVI UNAWEZA IFANYIA MNADA DHAHABU KIASI HICHO!?
Carat 50 ni sawa na gram 20+ ila thamani yake mabilioni ya Tanzania.
Dhahabu gram 20 ni sawa na milioni 2.6+.View attachment 2978675View attachment 2978679
Nimekupa sababu kule juu sababu zipo nyingi.Kwa hiyo Zina thamani kuzidi Madini mkakati na gold? Germstone ni valueless na vulnerable to price fluctuations ndio maana hazitumiwi hata kwenye kutunza thamani ya pesa au forex reserves.
Nimekuweka majedwali Yana aina zote za madini tunazozalisha na thamani yake,Kwa hiyo umeona Tanzanite inazidi gold?Shida yako una ujuaji mwingi halafu hauna unalolijua.
Nimekuletea bei ya Tanzanite,je Tanzanite na dhahabu ipi ina thamani!?
Embu kuwa kama msomi basi bro acha uzwazwa.
Gemstone unazosema hazina thamani ni zile za makilo kama garnet na rhodolite.
Gemstone group moja na Almasi zina thamani duniani.
Si nimekuletea ushahidi mbona unakaza fuvu!?
kunyan walivyoreact kwa hasira while ndio ilivyo kikawaida kwetu wa TZ tuwaonavyo wakenyaSasa huyo ng'ombe haoni aibu kupost video ya kuwapa moyo kama hiyo? Yani kwa sasa imefikia hatua watanzania wa kawaida wanapost video alafu inakuwa gumzo ndani ya Kenya, wadada wa watu waliongea tu ukweli wala hawakuwa na bifu na mtu lakini wakenya na inferiority complex yao wame take it serious🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uzito huo huo ingekuwa ni Dhahabu bei ingekuwa hiyo bil.80?Nimekupa sababu kule juu sababu zipo nyingi.
Wewe unaleta ngonjera.
Madini mkakati yana thamani ila umewahi kusikia yanatumika katika hazina!?
Narudia tena dhahabu kuchaguliwa kwake ni
-Rahisi kupatikana.
-Characteristics moja hufanana.
-Higher durability.
-Rahisi kuitunza.
We gemstone kila mwezi ukaisafishe hiyo pesa unayo!?
View attachment 2978685
Ona ulivyo unachekesha.Nimekuweka majedwali Yana aina zote za madini tunazozalisha na thamani yake,Kwa hiyo umeona Tanzanite inazidi gold?
Ona kilo za Tanzanite hapa na pesa ilizoleta ,ni aibu yaani kilo 👇View attachment 2978687
Fanya conversion wewe nyumbu acha kulia liaOna ulivyo unachekesha.
Katika hiyo ripoti yako kuna sehemu kumeandikwa gram na kumeandikwa ct/carat.
Sehemu ya Tanzanite iliyoandikwa ct/carat imeingiza fedha nyingi kushindana na dhahabu za hapo juu.
Umejiuliza kwa nini kuna sehemu ya ct na gram?
Nakusihi tena soma maelezo ya soko la vito vya almasi na mfanano wake.
Nimekuletea maelezo ya TUME YA MADINI kwanini hawaweki bei elekezi ya madini ya vito.
View attachment 2978688View attachment 2978690
Nionyeshe hizo stadiums ambazo ziko kila mkoa otherwise wacha kudanganya wau hapa. Nyayo stadium has all the faciliies that Azam can only dream of.. indoor arena, swimming pool etcJibu ni simple...Azam ni modern stadium while hio uliopost ni ancient outdated old stadium...facilities zilizopo kwenye Azam Complex hilo gofu lenu halina...stadium kama uliyopost huku Tanzania zipo kila mkoa...uwanja hauna hata taa za kuchezesha mechi usiku
Achana na huyo. Mbumbumbu.Aisee wakuu leo nimecheka sana.
Sikieni huku,DHAHABU INA THAMANI KUBWA KULIKO TANZANITE NA ALMASI.
1 carat= 0.2 grams.Uzito huo huo ingekuwa ni Dhahabu bei ingekuwa hiyo bil.80?
NIMEFUNGA MJADALA TUENDELEE NA MADA HUSIKA YA THREAD HII MADA YA MADINI IMEKUFA.Fanya conversion wewe nyumbu acha kulia lia
Weka highest bei ya Dhahabu kama ilivyokuwa bei ya ruby.1 carat= 0.2 grams.
60 carats=12 grams.
Inamaa hiyo ruby ilikua na gram 12+ ikauzwa bilion 80.
Dhahabu gram moja tzsh 137,000.
Inamaana gram 12 sawa na shingapi!?
Piga mahesabu mwenyewe.
Labda Tume ya Madini ndio wanajianisha nakochukua takwimuChoiceVariable wacha kujiabisha!
Zichambue hizo takwimu.Labda Tume ya Madini ndio wanajianisha nakochukua takwimu
Nionyeshe imetokana na neno OnyaNionyeshe
Nionyeshe hizo stadiums ambazo ziko kila mkoa otherwise wacha kudanganya wau hapa. Nyayo stadium has all the faciliies that Azam can only dream of.. indoor arena, swimming pool etc