Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu kama hicho ndio maana kuna njia za kupishana treni kwenye kila hatua au njia usitudanganye hapa,😂😂😂
Hiyo njia ya kupishana ndio inaitwa passing loops. Yani hii thread kila mtanzania na Yemeni ni wajinga?😂😂😂.

Again your passing loops are only 2km each which only allows train to stop while waiting for others to pass.

An example of passing loop using Kenyan SGR as an example. You can see one train is not moving allowing the other one to pass.

View: https://youtube.com/shorts/H4g1XKyflGo?si=RKPjYThSvY6vMUqr
 
Unahemka mpaka unakosea kuongea.
I’m just stating that you don’t know anything about trains cause in your exams you wrote Locomotives as Lokomotives. That’s a very serious mistake.
 
Kuporomoka Kwa speed ukilinganisha na wapi? Leta hapa takwimu za exchange rate ya Shilingi 2016 na #020 tulinganishe ,acha stori za kipuuzi weka hapa tuone.
r.png

Hiyo hapo 2016, huoni sharp increase kwenye uongozi wa mama baada ya mwaka tuu ya uongozi wake? Au kusoma graph hujui?
 
Ntakupa mfano from dar to Moro ni 205km ila kwann tunasema 300km kwasababu 95km ni kwa ajili ya treni kupishana
The 95km is not a continuous line. It’s a 2000km divided in different places.
 
Hiyo njia ya kupishana ndio inaitwa passing loops. Yani hii thread kila mtanzania na Yemeni ni wajinga?😂😂😂.

Again your passing loops are only 2km each which only allows train to stop while waiting for others to pass.

An example of passing loop using Kenyan SGR as an example. You can see one train is not moving allowing the other one to pass.

View: https://youtube.com/shorts/H4g1XKyflGo?si=RKPjYThSvY6vMUqr

😅 😅 😅

Kuna mtu kasema it so fast, daah
 
Mpumbavu wewe eti treni isimame isubiri nyingine ipite unless reli yenu ni ya world war 2 😂😂😂😂 treni lazma iwe na modern chat kujua hii itafika sangap sehemu Fulani

Ndio maana kwenye 205km kuna 95km kwa ajili ya reli za kupishania so take an average on that ukishindwa chukua scientific calculator 🤣🤣🤣🤣

Au ww unafkiri treni zinajiondokea Tu kama vile watu wakiingia sokoni au chooni
 
Haya Ebu tuonyeshe picture or video of the continuous 95km unaongelea. I’m here waiting😂😂😂
 
Huyo nyang'au amevurugwa akili baada ya kuona mafanikio ya sgr testing. Tangu juzi kila akifikicha macho yake haamini anachokiona, ha ha ha😎
 
😅 😅 😅

Kuna mtu kasema it so fast, daah
Yeah, faster than your trains. Ama hujui that your trains have a maximum speed of 180km/h while Kenyan trains have a maximum speeds of 200km/h?
 
Haya Ebu tuonyeshe picture or video of the continuous 95km unaongelea. I’m here waiting😂😂😂
Siongelei continuous naongelea njia za kupishania treni kwenye certain areas na nimaalumu kwa ajili ya kutofanya treni kusimama kusubiri nyingine 🤣🤣🤣

Leo nimekuona mpumbavu uliepindukia eti treni isimame isubiri nyingine 🤣🤣🤣 ww uko dunia gani wewe

Weka kwenye akili yako kua from dar to dodoma ni 3hrs hio isitoke kwenye akili yako daima 😂😂😂😂
 
Siongelei continuous naongelea njia za kupishania treni kwenye certain areas na nimaalumu kwa ajili ya kutofanya treni kusimama kusubiri nyingine 🤣🤣🤣
Those passing loops are only 2kms. What will 2km do if not stopping to give way?😂😂
 
Back
Top Bottom