Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana serikali yenu haiwezi kufanya emergency operations zozote sababu ipo overwhelmed na mtanzania mmoja aliezuru, media houses zote zipo kwa TID slum dwellers wataokolewa na maombi

View: https://vm.tiktok.com/ZMMbD6AFB/

Yani TID kwao ndiyo wanampokea kama star namna hii? Huyu TID ambaye kwetu tunamuona mwehu lkn wao kwao ni lulu, hawa wakenya ni washamba sanaa wallahi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hivi unaelewa nachozungumza!?
Mfumo wenu wa engine mnazotumia katika SGR ni za diesel ama sio za diesel!?
Kwani leo ndio umejua tunatumia diesel?😂😂😂. Hizo diesel have higher maximum speed than your electric trains😂😂
 
Faster in what wakat 470km inatumia 6 good hrs hvi mulirogwa na Nani ikiwa kwa bus kutoka nairobi to Mombasa ni 7 to 8 hours na hapo foleni za kila aina ajabu treni ni 6 hrs tofaut iko wapi??😂😂😂😂😂
Because there are something called passing loops where trains wait for other trains from opposite direction to pass.

Imagine your train mlikuwa mnaenda tu without any disturbances yet mlitumia 4hrs from Dodoma to Dar. What will happen when now the line becomes busy with different trains operating on it at the same time? Mtatumia 8hrs?😂😂
 
Kwani leo ndio umejua tunatumia diesel?😂😂😂. Hizo diesel have higher maximum speed than your electric trains😂😂

Ushajitia dole.
Engine za diesel mnazotumia ninyi katika SGR ndizo zinazotumika TRC katika MGR na zina maximum speed ya 140kmph matako wewe.
 
Umueki

Umuelimishe nani mataqo wewe!?
Unielemishe mimi ambae wewe hata maana ya lokomotive hujui!?
You are clueless. Just accept your shortcomings and dive straight to research articles and Journals to learn about trains and railways.
 
You are clueless. Just accept your shortcomings and dive straight to research articles and Journals to learn about trains and railways.
Wewe ndio unatakiwa ufanye hivyo.
Mtu usiyejua maana ya lokomotives.
 
Ushajitia dole.
Engine za diesel mnazotumia ninyi katika SGR ndizo zinazotumika TRC katika MGR na zina maximum speed ya 140kmph matako wewe.
Imagine ours have a maximum speed of 200km/hr and others going as far as 337km/h. Your so called electric locomotives have only 180km/hr.

Huoni aibu that a diesel locomotive is faster than an electric locomotive?
 
Your diesel locomotives for cargo DF8 speed is 100kph while for passengers DF111 is 158kph
This data is from the manufacturer
Electric locos za Tz SGR speed ni 185kph sasa ni ipi hapo ina speed kubwa?
Unalia ukiwa wapi?
IMG_0162.jpeg
 
Imagine ours have a maximum speed of 200km/hr and others going as far as 337km/h. Your so called electric locomotives have only 180km/hr.

Huoni aibu that a diesel locomotive is faster than an electric locomotive?
Lete huo ushahidi.
Hamuna reli ya kuruhusu mwendo wa 200kmph.
Reli yenu haijajengwa kwa ufanisi wa kuruhusu mwendo huo.
Kama reli yenu ina ufanisi huo lete ushahidi hapa.
 
Because there are something called passing loops where trains wait for other trains from opposite direction to pass.

Imagine your train mlikuwa mnaenda tu without any disturbances yet mlitumia 4hrs from Dodoma to Dar. What will happen when now the line becomes busy with different trains operating on it at the same time? Mtatumia 8hrs?😂😂
Hakuna kitu kama hicho ndio maana kuna njia za kupishana treni kwenye kila hatua au njia usitudanganye hapa,😂😂😂

Na hio treni iliokwenda kwa 4hrs ni kwasababu ni jaribio la Kwanza na pia ilikua umebaba viongozi mbalimbali ila ratiba yake ni 3hrs only

Ntakupa mfano from dar to Moro ni 205km ila kwann tunasema 300km kwasababu 95km ni kwa ajili ya treni kupishana
 
Back
Top Bottom