Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo sio Dashboard idiot. Naona Mshaanza kuchanganyikiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

It’s not only Kenya that display their train speed for passengers to see.

CHINA


View: https://youtube.com/shorts/0Xgzq66H6so?si=_zCOf0XZVRb9Ih-p
(Putting everything equal) Treni haiwezi tembea 300km/h kwenye reli kama yenyu (ambayo haijachomelewa), bila kuacha njia (mtetemo au reverberation itakuwa kubwa sana). kajisomee kwanza kitu kinaitwa natural frequency na resonance, ukishaelewa "kuja" tena hapa tubonge.
 
If your whole tourism can fall into shambles/damage because some girl confused Olorgeseille with Olduvai Gorge then your tourism department is the problem bro. Think. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Heeee! How did you link that with girl not minister?
 
Actually new Kenyan Locomotives can do above 300km/hr.
Nginja nginja 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hili dude likiamua kukimbia linafika 200km/h. Hapa jamaa anaenda na 120km/h na bado linamuacha alafu unaleta kibandiko kimeandikwa 100km/h.

View: https://m.youtube.com/watch?v=p4zJkfT3yaU&pp=ygUYS2VueWFuIGRyaXZlciByYWNpbmcgc2dy
Hahahahahaaaaaaaaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mmeamua kuwa makatuni sasa, hivi hii battle itaendelea kweli kwa uchale huu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umeongea kwa uchungu mkubwa, na hiki ndicho ninachotaka, mzidi kuumia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Today we are here to deconstruct Tanzanian liesπŸ˜‚πŸ˜‚.

Another train with a maximum speed of 158km/hr, Kenya has several trains with different speed limits.

ichoboy01 mambo vipi? Mbona huleti Tena hile cargo train ulikazana nayo?

 
can you bring the whole picture to see if that is Kenyan train? If so how can that train move at that speed on jointed railway?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…