Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Watu Hawaelewi kwanini taasisi kubwa kama US embassies wanauzaga vitu vyao wakishavitumia kwa miaka mitatu mwisho mitano wanapiga mnada, sasa hawa wananunua matakataka kwa bei ya jioni ili wawe nayo mengi wapate position ya kujiita powerhouse 😂😂😂You are a failed state pumbavu kabisa nyie, kila siku tunawaambia mnanunua mavitu ya enzi za WW1 mnabisha, mwishowe mpaka Ruto atakuja kuanguka na hayo ma scrapper.
Nioneshe mulio assemble 2024 🤣🤣🤣🤣🤣Kwasababu hizi land cruiser pick-up hua tunazi assemble pale AVA Mombasa, we don't heavily rely on imports.
AVA iko wapi hapo?? Niletee nembo ya AVA mm nifunge ACC SASA hvi 😂😂😂😂😂Hizi gari zinakua assembled Kenya hata. 😂 😂 😂 Kubali Bongoslum hamna connections.
![]()
Huyu dogo ataishia kujinyonga🙂Huyu dogo sometimes huwa namuonea huruma sana, anawajua Wakenya vizuri kweli huyu? Anyways ngoja tumuache tusimwambie, he is in love akiachwa ataacha😅😅
View attachment 2968453
Munakuanga nyuma kama matako. 😂 😂 😂 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C0VxmCNN78y/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Leta nembo ya AVA mm nafunga ACC forever unafkiri ku assemble gari ni kama kunyayua kwapa 😂😂😂😂😂😂😂Hizi gari zinakua assembled Kenya hata. 😂 😂 😂 Kubali Bongoslum hamna connections.
![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kenyans let us stop posting until after 21st
Punguza upumbavu we mzee, Simba corp sio website ya AVA. Wacha kutumia kichwa kama bakuli ya mate. Website ya AVA ndio hii hapa. 👇 👇Website ya AVA inasema hwijaanza ku-assemble buses n trucks upo hapa kudai
View attachment 2968420
Toyota Land Cruiser, Toyota Hilux, Toyota Hiace na Toyota Fortuner zote zinakua assembled at AVA Mombasa.Nioneshe mulio assemble 2024 🤣🤣🤣🤣🤣
Hvi ww unafkiri watu humu ni wajinga Sana au sio 😂😂😂.
AVA ana assemble gari ngap kwa mwaka niletee mauzo yake hapa, na AVA ana assemble gari kwa order maalum sio kwamba ni official anatambulika labda na Toyota no way
simbacorp is the parent company n ava is a subsidiary!Punguza upumbavu we mzee, Simba corp sio website ya AVA. Wacha kutumia kichwa kama bakuli ya mate. Website ya AVA ndio hii hapa. 👇 👇
Mkimwaga mboga, tunamwaga ugali 🤣
View: https://twitter.com/TBoundBuses/status/1780966464830263429?t=W7bnIhQsxI2xBNDcmCG9_Q&s=19
So AVA haifai kua na website yake kivyake ju it's owned by Simba Corp? Enyewe unaweza kua mzee na bado ue pumbavu. 😂 😂 😂 😂simbacorp is the parent company n ava is a subsidiary!
Naona unajua kampuni za Kenya sana.simbacorp is the parent company n ava is a subsidiary!
Andika kikuyu ama kikamba we kenge kila siku nakuambia usituharibie lugha yetu.Munakuanga