Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2966337

Nyi ongeeni tu tytaona the long run
Nchi yenu yenyewe inaendeshwa kwa mikopo bado mnahangaika kukopa pesa kustabilize currency yenu mnataka 1 dollar iwe sawa na 1 kes? Mkikopa 1 dollar mkiileta Kunyaland inakua 1 kes itawabidi mkope pesa nyingi sana na bado currency yenu itakua unpredictable, Tanzania tukikopa dollar 1 tukaileta huku ni maelfu na ndio maana tunafanya mambo mengi kwa mkopo mdogo, tukifika level ya kujitegemea tunabadilisha currency kama Zambia, simple!
 

Ndio shida yenu wapumbavu no wonder linchi kila kukicha mnadidimia mambo ya kucompare visivyotakiwa kua compared, yale yale madaktari wenu wanalipwa pesa nyingi kuliko wetu ila now tupo 34 days strike.

Hilo la Dubai unadhani linaweza kuwa compared na lenu? Ambalo ni kila mwaka na upigaji mwingi?

Angalia vyenu kwanza, mnaweza beat hata Dubai, mambo ya kucompare ndio yanafanya mridhike na ujinga.
 
Bomu Stadium in Mombasa, so much better than Azam grazing field. It’s currently under renovation.




D3dBYHzXsAAbvpz



D3dpYKqW4AAgBF_



D8cKRtZXkAAXeoX



D3kunobWAAYI2jY


DECzvxIWsAA7CBF



D3oicrIX4AYqWMy



D3kunoVWsAE83Gs
Hizo taa zenu hua mnawekaga kwa kutumia vigezo gani yaani ni vichekesho sana.
 
Asee now sitawanaga tena mkileta Render ya Talanta.

Mnakiu sana ya uwanja wa kueleweka.
Those are small stadiums in Kenya na ziko mingi like that. Tanzania outside Makwapa Stadium there’s nothing else.
 
Back
Top Bottom