Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Runway ndio nini wewe mzee? Hapa tunaongelea sports not aviation.BTW though Hamna runway hakuna uwanja una pitch kama hiyo Kunyaland nzima!
Runway ndio nini wewe mzee? Hapa tunaongelea sports not aviation.BTW though Hamna runway hakuna uwanja una pitch kama hiyo Kunyaland nzima!
Sana. Bado mko nyuma kama matako.Inachekesha eeh?
Mambo ya Azam TV 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hao sio Azam. Azam hawakukubaliwa karibu na Chapa Dimba😂😂Mambo ya Azam TV 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hebu Rudia tena ??🤣🤣🤣🤣🤣Azam watoe hizo cameras wapi? For your information Chapa Dimba is above Azam pay grade.
Ww unawazimu hzo ni digisuper camera zinatumika Sana kwenye mpira wa miguu na zinamilikiwa na Azam TV pekee east and central Africa 🤣🤣🤣🤣🤣Hao sio Azam. Azam hawakukubaliwa karibu na Chapa Dimba😂😂
Na hii ndio CCM kirumba stadium mwanzaNo wonder hawataki kutuonyesha changing rooms za hizo CAF standard Stadiums 😂😂
View attachment 2966642
View attachment 2966645
Na utayakuta yanapanua madomo serikali ya Tanzania inajenga majengo 😂 hiyo ni kazi ya Private Sector.😂😂😂 waangalie wao sasa.Kwanza bunge la nchi linakuaje na jumba kama Apartment?
Azam stadia so farOne of those stadiums ni ya Azam that can't even compete with Bomu. CAF standards hazina viti😂
Nyenyenye.Ww unawazimu hzo ni digisuper camera zinatumika Sana kwenye mpira wa miguu na zinamilikiwa na Azam TV pekee east and central Africa 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2966660
View attachment 2966663
Hata huna aibu kutuonyesha benches, viti hapo Azam hazizidi 100😂😂😂. Ebu ilinganishe na hii stadium ya Ulinzi Stars.Azam stadia so farView attachment 2966604View attachment 2966606View attachment 2966608View attachment 2966610View attachment 2966612dimba kama hili utatafuta kunya nzima. 😂😂
Zisi isi a CAFU approved stediem. 🤣 🤣 🤣 🤣No wonder hawataki kutuonyesha changing rooms za hizo CAF standard Stadiums 😂😂
View attachment 2966642
View attachment 2966645
Narudia kukwambia ni Azam TV na wala tusibishane Sana 🤣🤣🤣🤣🤣Nyenyenye.
Hizi Camera zinamilikiwa na hii kampuni with a blue truck.
View attachment 2966669View attachment 2966670
Hao sio Azam na ukipenda ulie.Narudia kukwambia ni Azam TV na wala tusibishane Sana 🤣🤣🤣🤣🤣