Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
What is CAF🤣🤣🤣🤣🤣Another comedy 😂😂😂😂😂 nyinyi ndio maana hata CAF hawahangaiki na nyinyi, wala hawapotezi muda kuja kwenu
What is CAF🤣🤣🤣🤣🤣Another comedy 😂😂😂😂😂 nyinyi ndio maana hata CAF hawahangaiki na nyinyi, wala hawapotezi muda kuja kwenu
Midomo imepanuka imekwenda juu utasema expressway ya mchina 😂😂😂😂😂Na wapo hapa Midomo mirefu runway 😂
Panic attack😃Ok Kwanzia Leo nime approve kirigiti kua ina CAF and FIFA standards haya leta kalamu niwasainie 😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuko vizuri aisee😎
Haya sawa Acha sifa leta kalamu niwasainie muwe na CAF and FIFA standards Fanya upesi ila usisahau kuja na kitu kidogo plz usiwaambia wenzako😂😂😂😂😂😂😂Tuko vizuri aisee😎
Ni ukweli hunanga content.Kwani uongo
Tuonyeshe changing rooms za Azam. Kuna kitu nataka kuona.Another comedy 😂😂😂😂😂 nyinyi ndio maana hata CAF hawahangaiki na nyinyi, wala hawapotezi muda kuja kwenu
Hapo kwenu ukifungua mdomo hivi tu pingu hizo mikononi. Ukijifanya kichwa ngumu risasi kifuani.Na wapo hapa Midomo mirefu kama runway 😂
Viwanja vya CAF ni Azam, tulitoka huko kitambo😃Haya sawa Acha sifa leta kalamu niwasainie muwe na CAF and FIFA standards Fanya upesi ila usisahau kuna na kitu kidogo plz ukiwaambia wenzako😂😂😂😂😂😂😂
Kwani tumeomba facility ya Kirigiti au Dandora? naona seats za concrete!Kirigiti Stadium Changing rooms and offices.
Facilities like this ni ndoto in Tanzanian stadiums, maybe Makwapa pekee.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tafuta Tu utapata ingia Google tafuta 😂😂Tuonyeshe changing rooms za Azam. Kuna kitu nataka kuona.
Nasema leta kalamu niwasainie muwe na standards za CAF na FIFA 😂😂😂😂😂😂Viwanja vya CAF ni Azam, tulitoka huko kitambo😃
Acha hasira mzee. Dandora Stadium Changing roomsKwani tumeomba facility ya Kirigiti au Dandora? naona seats za concrete!
Tuonyeshe za Azam.Kwani tumeomba facility ya Kirigiti au Dandora? naona seats za concrete!
Mimi hao CAF hata siwaamini sasa. Naona kama ni watu bogus walaji wa mlungula. Kama matope kama Azam yawakuwa approved hata kama ni kwa group stages pekee wakati stadium nyingi hapa Kenya zina facilities bora kuwaliko then kuna ufisadi sana hapo CAF. Hizo ni approvals za makaratasi.Nasema leta kalamu niwasainie muwe na standards za CAF na FIFA 😂😂😂😂😂😂
Ukiwaona hawataki kushare picha za changing rooms jua tu ni vichekesho. Zingekua poa wangekua wanaziangusha humu Kila siku namna wanavyopenda sifa.😂😂😂Mimi hao CAF hata siwaamini sasa. Naona kama ni watu bogus walaji wa mlungula. Kama matope kama Azam yawakuwa approved hata kama ni kwa group stages pekee wakati stadium nyingi hapa Kenya zina facilities bora kuwaliko then kuna ufisadi sana hapo CAF. Hizo ni approvals za makaratasi.