Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi hao CAF hata siwaamini sasa. Naona kama ni watu bogus walaji wa mlungula. Kama matope kama Azam yawakuwa approved hata kama ni kwa group stages pekee wakati stadium nyingi hapa Kenya zina facilities bora kuwaliko then kuna ufisadi sana hapo CAF. Hizo ni approvals za makaratasi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yani ww unaakili kweli ?? Wenzako waliofika wanakwambia walichoona kwa macho Yao

View: https://twitter.com/kinjeketile/status/1596942931411496961?t=eoIn0TSHf0pUAzPhVQuMUA&s=19

View: https://twitter.com/CoachCalito/status/1680864781849305089?t=K87iDe5JxY_1wZ2T8oPR5A&s=19
 
Mtu ametweet wee unasema amefika kisa amesema unachotaka kusikia?😀😀😀
 
1B Tshs = 387k USD
Bado hesabu inakupiga chenga. Hivi umefika darasa la ngapi?
Mimi nimesoma hiyo comment nikacheka tu. Huyu huwa namuacha maanake ni kijana mdogo akili haijakomaa ila saa zingine anaonyesha ujinga wa kupitiza kiasi maanake mambo mengine ambayo hayaelewi niliyaelewa nikiwa darasa la nne. 🤣 🤣 🤣
 
Of course, JKIA is way better than JNIA. Niliwaambia tofauti yetu na nyinyi ni expectations. Hiyo JNIA ingekuwa Kenya tungekuwa tumeicriticize mitandaoni hadi ikae slum, hapo kwenu kazi ni kuimba SISIEMU Hoyee! Yeyote akicriticize serikali atatiwa pingu ama risasi. Ndio maana mko qqhumu mnacheka JKIA wakati ni bora kuliko JNIA.
Wewe fala JNI haivuji kama hiyo takataka nzee ya jki 😂😂😂 mumefanya renovation juzi lakini kutokana na low standards of engineers. 😂😂😂 Wazee wa shordy work.
 
Back
Top Bottom