Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha vijana wa Kenya wapige pesa. Huko kwenu mngekuwa na talanta pia mngefanya hivo. Hata mimi nikijipata kwa situation kama hiyo nipewe dola zangu kama milioni moja hivi ndio nimuachie Mchina ashinde siwezi kataa. Hili linaonyesha jinsi Kenya inavyoeshimika kiriadha - yani angekuwa ameshinda Mtanzania hakuna mwenye angeona kama kaongwa ila akimshinda Mkenya lazima kufanywe investigation.
 
Wapige pesa gani wanauza mpaka utu na heshma zao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilitaka musijue 🤣🤣🤣🤣 kumbe mushajua
Tuzo ni zetu. Tumewapea kitoken kama majirani maskini halafu mnarudi kujipiga vifua. Yani ombaomba urushiwe mfupa alafu uanze kuringia aliyekupa huo mfupa wakati kwake kumejaa minofu kwa friji.
 
Unataka tufunge conveyor belt tutumie kusafirisha nini? Tumia akili we mzee. Naona hizi cranes zimewapea wasiwasi lakini itabidii muzoee.

Image
miraa, punda na ngamia! kwani gantry cranes zitasafirisha nn?
 
Washindi wengi ni wetu ila kwenu hilo tuzo ni la maana sana ndio maana mnapiga kelele.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mungepeana basi hzo tuzo kwann mutupe Sisi kama hatujawazidi??
 
Back
Top Bottom