Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwa na approval haimaanishi uwanja ni modern. Inamaanisha tu mmetilia maanani regulations ya vitu kama media center ambazo with a little renovation zinaweza wekwa tu. Kwa hivo usidanganywe na hiyo CAF. Huo uwanja wa Azam ni wa ovyo sana.
Azam ni modern stadium kwasababu zifuatazo.
-pitch iko vizuri.
-Vyumba vya nguo viko vizuri.
-Kuna sehem za kukaa mashabiki.
-Kuna viwanja vizuri na bora vya mazoezi.
-Una VAR.
-Kuna ubao wa matangazo wa LED KENYA NZIMA MPAKA LEO HAMUNA UWANJA WENYE MATANGAZO YA LED KWENYE MABANGO YAKE.
Kasoro yake ni moja tu.
Uwanja haujafunikwa sehemu za kukaa mashabiki baaaaas.
Ila vigezo vingine vyote vimetimia.
 
Geza Ulole We mzee haka ka crane kadogo ya mtwara port inakaa kubeba 10 t pekee. 😂 😂 😂 👇 👇 Ona tu vile ikona chuma ndogo kama post za uwanja wa mpira. 😂😂😂

Image


Vyuma vya kazi at Lamu Port, hizi ni kubwa kabisa, capable of handling post-panamax ships.

Image
Wapi conveyor belt Lamu? Post panamax gantry crane inajionesha kwa height!
 
Boston ya kibera labda,ww mpumbavu acha ujivuni bwege ww
Am trying to figure out… what are you trying to accomplish with your idiotic and primitive statement?.. still doesn’t stop the fact I was in Boston, USA… I reside in America and am free to visit anywhere within the States.. sasa nenda ujinyonge!..🤣🤣
 
Wataki huo upo Boston ya kibera ukila githeri huko ukishushia na harufu ya flying toilet 🚽
Btw, my sister taught my wife how to cook Githeri and so Yes I enjoy Githeri from my dining table time to time… and we don’t have whatever you call flying toilets in the USA… now you know.. 😃😃
 
Azam ni modern stadium kwasababu zifuatazo.
-pitch iko vizuri.
-Vyumba vya nguo viko vizuri.
-Kuna sehem za kukaa mashabiki.
-Kuna viwanja vizuri na bora vya mazoezi.
-Una VAR.
-Kuna ubao wa matangazo wa LED KENYA NZIMA MPAKA LEO HAMUNA UWANJA WENYE MATANGAZO YA LED KWENYE MABANGO YAKE.
Kasoro yake ni moja tu.
Uwanja haujafunikwa sehemu za kukaa mashabiki baaaaas.
Ila vigezo vingine vyote vimetimia.
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Eti maduka makubwa, show us a bigger retail chain than Naivas or Quickmart in bongoslum. Muko nyuma kama matako, ndio maana munataka kuanza kutoa leseni sahii. 😂 😂 😂
Ww huna akili hzo leseni ni kwa ajili ya maduka kariakoo wafanye KAZI masaa 24 kitu ambacho hakitatokea kwenu mpaka kufa 😅😅😅😅😅

Watu tunawaza kariakoo biggest market in east and central Africa ifanywe KAZI masaa 24 zikiwemo na banks vile vile, restaurants, hotels, maduka ya dhahabu etc, ww unatuletea naivas sijui quickmart

Elewa Kwanza somo alaf panua kipumulio

View: https://twitter.com/InnocentJLS/status/1665354174970593281?t=tql6r5J0zqUtClfSH1PyCQ&s=19
 
Back
Top Bottom