Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole kwa maumivu.
Ligi kuu ya Kenya hakuna mechi hata moja inachezwa usiku wakati TZ game zinapigwa usiku kuanzia DAR, TANGA, DODOMA, KAGERA na LINDI. Viwanja vya Mkapa, Azam, Mkwakwani, Jamhuri, Kaitaba na Namungo vyote vipo na taa na game zinapigwa usiku.
Namungo, ulidhani tutakuacha hivi hivi 😃😄
images.jpeg
images-1.jpeg
 
Tuliza mk*ndu bado cranes zinakua installed. Unadhani tulinunua cranes zishike samaki. 😂 😂 😂

Unadhani STS gantry cranes zinatengenezwa na wiki moja ama? Enyewe wewe hua pumbavu. 😂 😂 😂
Unaweka cranes Kwenye bandari yenye ni haitegemei kupokea meli.? 😂😂😂 . Ni nchi ya kitaahira tu ndio inaweza fanya huo upumbavu. Kwahyo mnategemea cranes kitaendelea kuota kutu hapo for how long.?
 

Mnaficha ficha video mnaleta vipicha baadhi!?
Damage hapo Negev imefanyika kubwa tu,na bahati yao Israel UK,US na Jordan walisaidia ku intercept hizo missiles na drones.
Isingekua msaada wa hayo mataifa Israel angekua analia sahizi kilio cha kwikwi.
Na USA kashasema hatoshiriki vita na Israel bali atailinda tu kama itashambuliwa tena ila sio kushiriki mashambulizi.
 
Unadhani STS gantry cranes zinatengenezwa na wiki moja ama? Enyewe wewe hua pumbavu. 😂 😂 😂
Kwann hamkutoa order before port kukamilika? 😂😂😂😂😂 Mulikua munasubiri nn

Mark my words Lamu port is a big white elephant in Africa not only in Kenya 😂😂😂
 
Back
Top Bottom