Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
I skipped it too...hahahalol.....let me skip this
I skipped it too...hahahalol.....let me skip this
Wewe hauna shamba ...shamba niya serikali ...unaishije kama settler kwenu.😀😀😀😀 Shamba utaliskia kwenye bomba
kwanini sisi tunapohitaji picha za kibera,mathare na slum mbalimbali hapo Nairobi,umewahi kuona tuki-demand wakenya mtuletee?...acheni uvivu...tafuteni wenyewe aerial photos za makazi ya watu wa dar halafu mzilete hapa.I wish you also responded this fast to our numerous requests asking you to show us aerial views of your residential areas in Dar. Ungekuwa kijana mzuri sana.

That's totally different na huku Kenya. In kenya, there's what we call ancestral land. Ile land umeridhi kutoka kwa babako na babako pia aliridhi kutoka kwa babu yako. Serikali haina usemi kwa ardhi kama hiyo unless ni mradi wa serikali vile umetaja hapo juu of which you will be compensated by the government. Then kuna hiyo ya kulease for a period of 99 years though hiyo si mob huku kwetu. Halafu kuna ardhi ya serikali ambayo hakuna mwananchi yeyote ako na usemi. For example, the whole of kibera is government land. in kenya, ukishanunua ardhi na kupokea title deed that land belongs to you. The only thing the government will require from you ni kulipa annual land rates which is a very small fee but this mostly happens in big towns and citiesTz ni unaingia mkataba na serikali kupata land
Iko hivi
Ukiingia mkataba unapewa either 33yrs au 66yrs au 99yrs
Na ukijenga hyo sehem iyo ardhi haiwezi ikachukuliwa na kupewa mtu mwingine ilihali hauko weeling kuondoka, so unalipia tena ili uendelee kukaa pale,
Serikali itakulazim uondoke kama miundombinu ya jamii kama barabara au kupanua kiwanja cha ndege na apo serikali italazim kukulipa hella zaid ya thaman ya eneo hilo kwa mda uo (na si mda uliponunua)
wewe sio mtz wa kwanza kuja katika thread hii na mtizamo wa aina hiyo.walishakuja wengi,ila baadae wakatoweka.Mimi Mtz ila usifananishe Nairobi na vitu vya ajabu; Dar has a sweet name but the city is dirty!
Is this Kenya's most brazen case of tribalism? - Nairobi NewsWewe hauna shamba ...shamba niya serikali ...unaishije kama settler kwenu.
Sema tu nacho yako haiwezi amini hapo ni mombasa. Ama macho inakubali lakini moyo ndo inakataa? You wish it was in your ldcHii nyumba imekosa fedha ya finishing?ni mwaka unaisha bado iko kama gofu![]()
Apo hamna kitu usijihangaisheSema tu nacho yako haiwezi amini hapo ni mombasa. Ama macho inakubali lakini moyo ndo inakataa? You wish it was in your ldc
karibu jamii forum mgeni😀😀😀😀Mimi Mtz ila usifananishe Nairobi na vitu vya ajabu; Dar has a sweet name but the city is dirty!
Hamna kitu hapo filter kibao wakati majengo ya kisasa ni machache mengi ni ya kizamani yale ya wahindi na waarabu yako kma vichuguu vya mchwahii ni ya Tuusan na wengine wanaofikiri Mombasa ni ligi yao...tazama hapa alafu fananisha na huo mji wenu sijui niite village, Mwanza...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jina moja litafaa zaidimatusi ni ya ma desperate...wewe mtanzania ama mbongo mimi mkenya...bas