Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna trend ya eldy vs mwanza go check
2c4484159c7f167eceebb31c82900b47.jpg
2fe92b4cac080d761d058a76e124335f.jpg
Kihivi basi ata Eldoret ni kubwa kuliko Mombasa
Maana mombasa hamna 19flr
Inshort baada ya hayo mawili
Utakutana na 9 probably then vingine vidwaf

Na apo ilo 19 na 15 ni compound moja
 
Eldoret GDP ni bigger than Mwanza....Eldoret inaleta pesa za athletes millions ama billions kila mwaka,ni Kenya's food basket, iko katikati ya Kampala na Nairobi so a major export/import centre to/fro uganda
rudia hiyo kauli kua GDP is what??????
 
Eldoret GDP ni bigger than Mwanza....Eldoret inaleta pesa za athletes millions ama billions kila mwaka,ni Kenya's food basket, iko katikati ya Kampala na Nairobi so a major export/import centre to/fro uganda
Endelea kujitekenya braza lakini eld ilanaliwa na Morogoro kavuu
 
hahaha Ile mwanza yenu ndio mnapima na Mombasa....hahaha.anyway it's good for consolation......mwanza can rank 6th by Kenyan standards
Unaongelea mombasa yenye tower za kizaman tena zile za wahindi na waarabu au mombasa itaizidi mwanza kwa port tu na beach
 
Ardhi wewe unayo? Ama niya serikali?
Tz ni unaingia mkataba na serikali kupata land
Iko hivi
Ukiingia mkataba unapewa either 33yrs au 66yrs au 99yrs
Na ukijenga hyo sehem iyo ardhi haiwezi ikachukuliwa na kupewa mtu mwingine ilihali hauko weeling kuondoka, so unalipia tena ili uendelee kukaa pale,
Serikali itakulazim uondoke kama miundombinu ya jamii kama barabara au kupanua kiwanja cha ndege na apo serikali italazim kukulipa hella zaid ya thaman ya eneo hilo kwa mda uo (na si mda uliponunua)
 
But shamba si yako...niya serikali ata settlers aanapewa 99 yrs...but wakenya wengine humiliki shamba na kuiuza wanavyo taka
 
But shamba si yako...niya serikali ata settlers aanapewa 99 yrs...but wakenya wengine humiliki shamba na kuiuza wanavyo taka
Settlers hapewi ardhi ni ya kwake mpaka kufa na ndio maana ardhi zote zilizo hot kenya zimeshikwa na wazungu na politicians😀😀😀😀 wewe hangaika tu lakini ardhi utaiskia kwenye bomba
 
unajua collo wewe ni kijana wa kikenya mjinga sana...pia mshamba sana.

at first when i saw your comment demanding us to show you "zip lining",i thought it's something like a big robotic machine made from a complicated modern technology.

haki sikujua zip lining ni kitu gani...so I had to google it.(ushamba nayo).

huwezi amini nilipogundya hiyo kitu unayo demand tukuomyeshe ni upuuzi tu fulani nimejikuta nakudharau mno.

nina hakika hata ndg zako wakenya watakudharau baada ya kusoma comment hii.

guys,this is zip lining which kolo-jinga is repeatedly and loudly demanding us to prove to him if it exists in Tanzania.pathetic.
d6cc698c3c82fed8b2dd7dd9f5835989.jpg
3ebca45723751de6ebfe71e89dc9e723.jpg
88d11fc80985abdfa098a4157299cf66.jpg
I wish you also responded this fast to our numerous requests asking you to show us aerial views of your residential areas in Dar. Ungekuwa kijana mzuri sana.
 
Back
Top Bottom