Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oneni huyu. πŸ˜€ πŸ˜€
 
I told you Tanzanian army was the weakest in Africa. In KDF entire time in DRC hakuna Jessi aliyekufa at mmoja.

As for Tanzania ukiona wamesema anti watatu wamekufa just know that wenye wamekufa are more than 30 with another 300 injured.
Empty talker. Wapi evidence.?
 
Kwanza TID ndio nani? Secondly when did that idiot invented English words? Why are you forcing everybody to see your foolishness? Ati mtanzania ndiye aliyeandika kiingereza, maajabu πŸ˜‚πŸ˜‚
Ikiwa ulijiona noma kwa kuvaa zile viatu za matairi, siwezi shangaa pia kuto kumjua TID. Bush boi a.k.a mtoto pori. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
80% ya Mombasa people r Bangladesh slum dwellers!
Kama unaona unajimudu na unaweza kuitetea mombasa dhidi ya Arusha city kwenye suala zima la makazi, twende ground tu, ukielemewa pia rukhsa kupost zile gorofa za 2 floors chakavu hapo Mombasa city center. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anafosi tufanane na hizo 2 floors chakavu buildings zilizosambaa mji mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuna gorofa zisizozidi kumi tu zenye hauni hapo Mombasa, the rest ni takataka.

Chukua Mombasa+Kisumu+Nairobi+eldoret+Nakuru zote kwa pamoja njoo upambane na Dar na hio ruhusa nimekupa mm mwenyekitiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
It will take Tanganyika a million years to have a second city like Mombasa beside your glorified fishing village aka Dar
 

Attachments

  • images - 2024-04-10T121622.500.jpeg
    92.3 KB · Views: 20
Hiyo mitaa ulitembea kwa miguu??
Hakuna sehemu ilokosa barabara ya rami na hakuma sehemu nyumba hazijapangika.
Hayo maeneo hakuna uswazi.
Ukitaka twaweza kukuletea picha za chini uone.
Sasa kama mtaa wenu wa kifahari kuliko zote Masaki ndio Kuna Barabara za vumbi sasa hapo zitakosekanaje?
 
Cha ajabu hao hao wenye mapanga wameua mwanajeshi wenu na mumewaogopa mkahepa Congo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanajeshi wetu wepi waliualiwa Congo wewe bongolala? Unafikiri waoga wenu wakiluliwa Kwa panga sasa majeshi yote mengine yako hivyo?

Do you have any evidence?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…