Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya bado yapo pia. Tumekua tukitumia hiace, Urvan, Land Rover kabla mjue tour vans ni Nini. Land cruiser Nazo tumezianza juzi yet still mbele yenu.
KVM has been making tour vehicles since enzi za Moi.
No photo description available.


No photo description available.

No photo description available.


No photo description available.
 
Magari mengi ya aina hii yaliyopo Kenya yamekua modified Tanzania, ni kawaida kwa gari zote za aina hiyo kuletwa Tanzania kufanyiwa modifications sio Tanzania tu karibu nchi zote zenye NPs central, eastern and southern Africa


View: https://twitter.com/OneTenAuto1/status/1464544212146397187?t=SaV8-NvwwifmCKAjScULYA&s=19


View: https://twitter.com/Lovingson_/status/1219173310392651776?t=7cX8kpGMSvSfcCqAGrmNKg&s=19


View: https://twitter.com/brokenx21/status/1747651518541529556?t=nvsWT7pDcVgx4oNw4KmeGg&s=19

Mbona umekua mnyonge ghafla, hakuna chochote mmevumbua, haya mambo tuliyaanza kitambo muulize mamako atakwambia🤣🤣
 
Kipindi kile aliyapeleka Dar Coach

View attachment 2958893
Makonda yupo Strong sana. Watu wengi wanamwandama na kumchukia with no reasons.

Makonda anachokifanya ni politics na Ameiva.

Suala na kuwa na hisa au la kwenye kampuni flani hayo ni mengine.

Wapo wakuu wa mikoa wangapi wameshindwa kuwa na influence hiyo?

Politics is all about influence
 
Back
Top Bottom