Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa majibu yni ina maana Dar ndio ya kwanza kisha Mwanza alafu Arusha...
 
Kama ni upuuzi naomba unioneshe bus stage ya mombasa naisubiria hapa, mwanaza ina bus stage mbili kubwa 😀😀
Pwahahaha! bus stage ndio kipimo cha maendeleo? wacha jokes bana...we leta picha tu za Mwanza kisha nami nilet za Mombasa...deal?
 
Endelea kujipa moyo bahat nzuri naijua mombasa vzr sana nioneshe ile stage ya mabas inayopatikana mwembe tayari😀😀😀😀😀
Pwahahaha! bus stage ndio kipimo cha maendeleo? wacha jokes bana...we leta picha tu za Mwanza kisha nami nilet za Mombasa...deal?
 
kwa majibu yni ina maana Dar ndio ya kwanza kisha Mwanza alafu Arusha...
Dar es salaam, mwanza , arusha, tanga , mbeya etc ila dodoma ndio sasa inajengwa kwa kasi sana tena sana kwasababu serekali yote ishaanza kuhamia dodoma
 
nairobiadrica.jpg
Westlands Nairobi
 
Pwahahaha! bus stage ndio kipimo cha maendeleo? wacha jokes bana...we leta picha tu za Mwanza kisha nami nilet za Mombasa...deal?
😀😀😀😀 Yani munaita city even a bus stage hakuna serious bro????? Ukienda mwembe tayari mvurugano mtupu
 
honestly nje ya Dar sijui city zingine...kwanza hata nilidhani Arusha ndio namba 2 ila baada ya kuniambia ni ya tatu ukanichanganya kabisa...sasa Mbeya ndio hata sijawahi kuiskia maishani mwangu...nimeiskia leo..ebu leta picha angalau tuone kama iko ligi ya Mombasa au la...
Cha kushangaza ni kuwa hiyo Mbeya pia ni city! Ile town ya lift moja walitangazia ulimwengu mzima siku ya uzinduzi wa lift. Huko bongo kila kitu ni city. Kidogo kidogo utasikia kwamba hata Tarime pia ni city! Haha...wabongo ni watu wa hatari sana
 
Whats so special about kisumu ..?
Yan which areas (name them and show pics ) ..ambapo mtu unaeza kwenda kutembea and enjoy
 
Nothing more may be uende kutembea uone city pekee duniani taxi ni baiskeli😀😀😀😀😀
 
Cha kushangaza ni kuwa hiyo Mbeya pia ni city! Ile town ya lift moja walitangazia ulimwengu mzima siku ya uzinduzi wa lift. Huko bongo kila kitu ni city. Kidogo kidogo utasikia kwamba hata Tarime pia ni city! Haha...wabongo ni watu wa hatari sana
Labda nikuulize swali dogo sana unajua vigezo ambavyo hutumika kuipa sehemu kua city??? Hebu tuanzie hapo
 
You can't lecture me on such a topic. First and foremost, there is no universal rule governing the elevation of a town to a city status. That's why you call all your towns including the Tangas of this world as "cities". But let's begin from basic things....what's the size and population of Mbeya town?
 
Planning ndio muhimu...
barabara za maana...
piped WAter na pia good sewer system...
hiziiiii kwanza ata niko sure hakuna labda 1/4
 
You can't lecture me on such a topic. First and foremost, there is no universal rule governing the elevation of a town to a city status. That's why you call all your towns including the Tangas of this world as "cities". But let's begin from basic things....what's the size and population of Mbeya town?
Hujanijibu swali langu bro😀😀😀
 
Back
Top Bottom