Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

eeh kasarani,nyayo haiezi host upuzi
ukiona mkenya anatoa povu la dhihaka kuhusu project fulani,basi fahamu kwamba ulimzidi ujanja na maarifa katika kupata project hiyo

sababu hasa ya kuyaita mashindano ya cecafa challenge cup upuuzi ni ile hasira na wivu wenu kwa azam TV ya mtanzania kupata haki ya ku-broadcast mashindano hayo ndani ya ardhi yenu.

mnaita cecafa tournament upuuzi mkisahau kwamba cecafa's history is part and parcel of kenya...cecafa ni mali ya kenya sio ya Tanzania.

a73931f4c9bb164820e7f8536fb867de.jpg

swali muhimu:
kwanini mashindano ya cecafa challenge 2017 hayafanyiki Nairobi na badala yake yanafanyika mashinani(machakos na kakamega)

jibu ni sababu za kiusalama,waandaji wa cecafa hawana uhakika wa usalama wa viwanja vya Nairobi ikiwemo cha nyayo na kasarani kutokana na sababu za kiusalama.

wameona bora wapeleke mashindano mashinani ambako hakuna mivutano mikubwa ya kisiasa.

sababu hizo hizo za kiusalama ndio zilizopelekea timu ya taifa ya zimbabwe kutangaza kujitoa hapo jana.

a3e0a0640cdd88c2b965707e7a2d3a71.jpg

siasa zenu za kishamba za ukabila ndio zimewafikisha hapo..aibu kubwa sana.
 
kwanza hata Zimbabwe sio nchi ya kujifanya fanya hapa kana kwamba ni 1st world...tuseme wameogopa kichapo tu ama wameidharau kombe la CECAFA...Zimbabwe ni nchi inayodharauliwa sana...hata nimeshangaa wakijifanya kiasi hicho
 
kwanza hata Zimbabwe sio nchi ya kujifanya fanya hapa kana kwamba ni 1st world...tuseme wamogopa kichapo tu...Zimbabwe ni nchi inayodharauliwa sana...hata nimeshangaa wakijifanya kiasi hicho
nimejuiliza swali ina maana kiusalama situation ya zimbabwe ni nafuu zaidi kushinda kenya?...kwanini wanaharibu image ya kenya?.wapuuzi hawa.
 
kwanza hata Zimbabwe sio nchi ya kujifanya fanya hapa kana kwamba ni 1st world...tuseme wameogopa kichapo tu ama wameidharau kombe la CECAFA...Zimbabwe ni nchi inayodharauliwa sana...hata nimeshangaa wakijifanya kiasi hicho
Hawajajifanya ila ni kweli usalama hamuna na huo ndio ukweli japo mchungu 😀😀😀😀
 
now i know why zimbabwe has withdrawn from the cacafa tournament...indeed insecurity is the main reason....kenya iko na ukabila mob sana.
13896aa68e2f139245b4f212baed424f.jpg
8f5998ebe662dd92ee0f8ed3b195fa03.jpg
 
Ningependa kujua, Ghorofa la Umoja wa vijana lipo Kariakoo?
 
Back
Top Bottom