ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Jibu swali kwanza unazijua???😀😀Planning ndio muhimu...
barabara za maana...
piped WAter na pia good sewer system...
hiziiiii kwanza ata niko sure hakuna labda 1/4
Basi mm nakupata taarifa hakuna miji imejengwa vzr sana tena kwa plan nzuri with good sewage systems kama tanga, dodoma, mbeya, mwanza etc