Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuonesha maeneo 18 ndani ya Dar es salaam. Unakimbilia Kisumu.
Tukubaliane
Dar es salaam VS Nairobi, Kisumu, Kericho, Mombassa, Nakuru etc 🤣 🤣 🤣 🤣
Nairobi is very small with a big bush
Utaimba hii pambio lakini jibu haupati.., mkimaliza Kawe nitag, story za vijiweni nenda ukahadithie maboya wenzako., hapa nataka facts, kazi ikamilike..,
 
we are african and africa is our muwajengee tuu hao mang'ombe huo uchafu. Huku tarura au tanroads hawawezi hata kujenga barabara ya mtaa hivyo watakula za kichwa dakika sifuri.
Ujenzi wa barabara Kunyaland upo kihuni sana, barabara zao nzuri ni zile tu walizobahatisha kupata constructor na consultant ambae yupo chini ya financier ambae ni WB au afdb lakini zile ambao gok wenyewe ndio financier huwa zipo kijua kali kuliko kawaida 😁😁
 
Boss mimi haunipatii hizo hadithi za vijiweni, ondokeni Kenya na omba omba wenu niwaheshimu.., endeleeni kupiga boda boda na kuuza kahawa, salon na omba omba kwa amani.., ukweli mnachukia sana..,
Sasa unataka nikupate wewe ni nani? Unadhani nipo hapa kwaajilia ya kukupata stupid kenyan. Ondoeni slums hapo nairobi kwanza. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ujenzi wa barabara Kunyaland upo kihuni sana, barabara zao nzuri ni zile tu walizobahatisha kupata constructor na consultant ambae yupo chini ya financier ambae ni WB au afdb lakini zile ambao gok wenyewe ndio financier huwa zipo kijua kali kuliko kawaida 😁😁
waliniacha hoi walivyojenga barabara katikati kuna nguzo za umeme nlicheka kidogo nizimie.
 
Sasa unataka nikupate wewe ni nani? Unadhani nipo hapa kwaajilia ya kukupata stupid kenyan. Ondoeni slums hapo nairobi kwanza. 🤣 🤣 🤣 🤣
Wewe unaweza nipata kweli, hauna uwezo wowote mbali na domo domo shoga lizee 😛., ondoeni uswazi Dar karibia 90% kisha uje tusemezane.,
ondoeni huu ushamba eti makazi ya middle class.., taifa ni aibu kila kona, hamuwezi kuficha haya machoni pa wageni, uswazi imetapakaa hazifichiki, afadhali slums in nairobi lazima utafute:ICANT::ICANT:😛😛😛., Eastlands ya dar.
1712067540010.png
 
KQ narrowed its net loss by 40.6 percent to Ksh22.6 billion ($172.52 million) in the year ended December 2023, helped by a surge in revenues. The company had made a net loss of Ksh38.2 billion ($291.6 million) the year before.

Back
Top Bottom