Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa nimeshangaa. Sukari Bei imeshuka na iko kwa wingi tuu. babayao255 unaona Yale huwa nakwambia mko petty? Ingekuwa ni media ya Kenya imeshare habari hizi za uongo kuhusu Tanzania mngezuandika kwa kitabu cha kumbukumbu na 100 years from now wajukuu wenu bado wangekuwa wanaongelea jinsi Kenya tunavyoharibia nchi yenu Jina.🤣🤣
Sio kupenda kwao, serikali imefinya media, wanaambiwa wapene fake news, ndo waonekane better. And it has to be Kenya because of course Kenya is the reference point
 
Bagamoyo Road

IMG_5559.jpeg
 
Back
Top Bottom