Wengi ni watanzania, yaani hawkers wa kahawa, na wa vitenge, boda boda riders kutokea Arusha, wajakazi manyumbani mwetu, shamba boys.., kwani unadhani wata afford a bedsitter or kuishi kwa apartment, watu wa uswazi kutokea Dar kama wewe, wa Rwanda, Burundi, Uganda, na DRC wanajaza slums sana.., na tukiongezea omba omba kutoka kwenu (mbona hawatokei Uganda ama Rwanda..,HDI report ya World Bank imedhibitisha ni kweli mko hovyo), omba omba ni dhibitisho mkono mtupu haulambwi., mngekua nafuu wangebakia huko huko waombe hela., World bank 2024 imewaumbua tena