NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,977
Kumbuka ukiuza mali ya Familia yako yote, huwezi afford nyumba huo mtaa.Yako wap hayo majengo? Mna vijiji ndani ya miji tu.
Kumbuka ukiuza mali ya Familia yako yote, huwezi afford nyumba huo mtaa.Yako wap hayo majengo? Mna vijiji ndani ya miji tu.
Karen is very cheap compared to Masaki, 1 acer of land in karen is around 45 million Kenya sh and the most expensive one is 75 million Kenya sh which is equal to 1.4 billion Tz shillings,Kumbuka ukiuza mali ya Familia yako yote, huwezi afford nyumba huo mtaa.
Kama kizingo mwananguWejamaa Teargas nilikwambia kwenye video ya Bertin aliyopost juzi ikionyesha Upanga, kuna buildings kumi au zaidi zenye ni under construction , hizi hapa 2 buildings 👇View attachment 2950331anothor 2 buildings 👇View attachment 2950332View attachment 2950333another 2 buildings 👇View attachment 2950334View attachment 2950335View attachment 2950336another 2 buildings 👇View attachment 2950338View attachment 2950339another 1 building U/C 👇View attachment 2950343.. yes it's Upanga beib 👇View attachment 2950345.. jumlisha hizo namba hapo Halafu unipe majibu,je kutoka kwenye video ya Bertin kulionekana gorofa ngapi under construction in upanga alone.?
Halafu kuna mbwa zinakwambia sisi tuliacha kujenga magorofa 😂😂😂
Unaumia ukiwa wapi mzee wa kula bata Arusha? 😂😂Kama kizingo mwanangu
Venye tu nilisema. There are only two buildings in Upanga under construction currently. There are also three stalled projects.Wejamaa Teargas nilikwambia kwenye video ya Bertin aliyopost juzi ikionyesha Upanga, kuna buildings kumi au zaidi zenye ni under construction , hizi hapa 2 buildings 👇View attachment 2950331anothor 2 buildings 👇View attachment 2950332View attachment 2950333another 2 buildings 👇View attachment 2950334View attachment 2950335View attachment 2950336another 2 buildings 👇View attachment 2950338View attachment 2950339another 1 building U/C 👇View attachment 2950343.. yes it's Upanga beib 👇View attachment 2950345.. jumlisha hizo namba hapo Halafu unipe majibu,je kutoka kwenye video ya Bertin kulionekana gorofa ngapi under construction in upanga alone.?
Halafu kuna mbwa zinakwambia sisi tuliacha kujenga magorofa 😂😂😂
Akili yako inakusaidia kweli?Karen is very cheap compared to Masaki, 1 acer of land in karen is around 45 million Kenya sh and the most expensive one is 75 million Kenya sh which is equal to 1.4 billion Tz shillings, View attachment 2950353cheki masaki sasa acre moja ya ardhi in masaki is 4 billion tz sh = 205 million Kenya sh👇. View attachment 2950354 "Big Plot for Sale in Masaki Along Hailesilasi Road. in Msasani - Land & Plots for Sale, Chriss Real Estate Agency | Jiji.co.tz" Big Plot for Sale in Masaki Along Hailesilasi Road.. Masaki is the most expensive neighborhood in the region.
Sikua na lengo unikubalie nilichotaka kusema ila ni kukuelimisha na kuumbua uongo wako humu ndani, nani asiekujua kwa ubishi hewa wewe.? 😂😂😂Venye tu nilisema. There are only two buildings in Upanga under construction currently. There are also three stalled projects.
1. The building with the green net is the same building in the fourth picture behind the White House with a red roofing.
2. The other building in the first picture is stalled, same as the buildings in the second and third picture. Look at the color of the pillars and walls and you will know what I’m talking about.
3. The fourth, fifth and sixth pictures are of the same buildings as of the the one with the green net on the first picture.
4. Seventh and eighth picture are same buildings as of fourth, fifth and sixth pictures.
5. Eighth picture is a stalled project again. Look at the pillars and walls.
Conclusion: There are only two buildings in Upanga currently under construction and three stalled projects zenye hata hamjui zitaisha lini.
I guess you used to be bottom in class if that’s your perfect analysis of that video. You keep on repeating pictures of two buildings hili zionekane mingi.Sikua na lengo unikubalie nilichotaka kusema ila ni kukuelimisha na kuumbua uongo wako humu ndani, nani asiekujua kwa ubishi hewa wewe.? 😂😂😂
Nilishafanya kazi yangu kwahyo watu wameona ukweli. Bye bye 😎
Stalled project unatumia kigezo gani kwamba ww ndio civil engineer au 🤣🤣🤣 unajipa kazi sio yako kondoo wwVenye tu nilisema. There are only two buildings in Upanga under construction currently. There are also three stalled projects.
1. The building with the green net is the same building in the fourth picture behind the White House with a red roofing.
2. The other building in the first picture is stalled, same as the buildings in the second and third picture. Look at the color of the pillars and walls and you will know what I’m talking about.
3. The fourth, fifth and sixth pictures are of the same buildings as of the the one with the green net on the first picture.
4. Seventh and eighth picture are same buildings as of fourth, fifth and sixth pictures.
5. Eighth picture is a stalled project again. Look at the pillars and walls.
Conclusion: There are only two buildings in Upanga currently under construction and three stalled projects zenye hata hamjui zitaisha lini.
Mimi nilishafunga huo mjadala mbona.? Sasahiv napokea likes tu. 😂😂😂 Halafu nimeacha huko wewe ukionekana zogodo, azonto 😂😂.I guess you used to be bottom in class if that’s your perfect analysis of that video. You keep on repeating pictures of two buildings hili zionekane mingi.
Huyo akiona kichapo ni heavy, lazima atafute vijisababuStalled project unatumia kigezo gani kwamba ww ndio civil engineer au 🤣🤣🤣 unajipa kazi sio yako kondoo ww
Wewe ni mpumbavu. Huu uwanja uko under reconstruction na utaisha this year July. Tulisha sema huku kitambo sana.Compare and contrast
Makwapa Stadium
View attachment 2950097
Kasarani Stadium
View attachment 2950101
Kinacho i cost Air Tanzania sio kwamba tunanunua ndege sana . Ni matatizo yafwatayoAir Tanzania is making a similar but bigger mistake that Kenya Airways made in the early 2010s. They are so focused on expanding they forget the company has to be healthy. Kenya Airways bought a lot of planes in early 2010s and the rapid expansion saw the airline go to its knees. Nasema ya ATCL ni makosa kubwa zaidi kisa ATCL bado changa sana hata haijatengeneza profit yake ya kwanza washaanza kununua ndege kiubabe. Kenya Airways ilifanya rapit expansion wakati ikiwa ranked the best airline in Africa na ikiwa na profits kibao yet haikusucceed sasa hawa wanamake losses kila mwaka wanangángánia expansion. Sahii tunavyoongea KQ imepunguza ndege kutoka 54 hadi 35 ndio ianze kukua kwa akili na upole na ndio imepata profit ya kwanza kwa miaka 7.Save this comment mtakuja kuniambia.