Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tupo Wasee wa GDP kubwa NairobiWalker Teargas Reborn Ktb

1711932686288.png
 
Tofauti ni kwamba hapo vijijini ni mashamba, hapo Loresho ni mjini kuna majengo yet bado tumemanage kupreserve greenery. Sii rahisi kupreserve greenery mahali kuliko na majengo mengi.
Sio rahisi kupreserve greenery mahali kuliko na majengo mengi kivipi? Hamna culture ya kupreserve greenery the vice versa is true in Tanzania, the place more people are inhabiting the more greener it becomes sababu popote mtanzania akijenga lazima apande miti na maua kuzunguka eneo lake it more likely hutumia miti as demarcation of your land pawe mjini au kijijini, lakini ninyi mnapenda kuishi kwenye dormitories na mpo wengi kama chawa hii mifumo kwenu haipo applicable
 
Sasa zile vitenge architecture ndio unasema mnajua kupreserve greenery. Broo..............wachana na hiyo kitu unavuta. 🤣

Kenyan Greenery Architecture
muthaiga_mansion_tysons_limited_1.jpg

Kitenge Architecture
IMG_20230613_115552_852.webp
 
Mama Ngina Foundation inawapitia vijana wa kikenya allowance ya internet na vlog. Msishangae 24/7 watoto wa kibera wanajaza server za JF with non contextual words.
 
Sio rahisi kupreserve greenery mahali kuliko na majengo mengi kivipi? Hamna culture ya kupreserve greenery the vice versa is true in Tanzania, the place more people are inhabiting the more greener it becomes sababu popote mtanzania akijenga lazima apande miti na maua kuzunguka eneo lake it more likely hutumia miti as demarcation of your land pawe mjini au kijijini, lakini ninyi mnapenda kuishi kwenye dormitories na mpo wengi kama chawa hii mifumo kwenu haipo applicable
Eti mahali mtanzania amejenga ni lazima apande miti? 🤣🤣🤣

Tell me, waliojenga hapa sio watanzania?
1695531709384.png_1~2.jpg
images - 2024-02-05T210932.106.jpeg
 
Wejamaa Teargas nilikwambia kwenye video ya Bertin aliyopost juzi ikionyesha Upanga, kuna buildings kumi au zaidi zenye ni under construction , hizi hapa 2 buildings 👇View attachment 2950331anothor 2 buildings 👇View attachment 2950332View attachment 2950333another 2 buildings 👇View attachment 2950334View attachment 2950335View attachment 2950336another 2 buildings 👇View attachment 2950338View attachment 2950339another 1 building U/C 👇View attachment 2950343.. yes it's Upanga beib 👇View attachment 2950345.. jumlisha hizo namba hapo Halafu unipe majibu,je kutoka kwenye video ya Bertin kulionekana gorofa ngapi under construction in upanga alone.?

Halafu kuna mbwa zinakwambia sisi tuliacha kujenga magorofa 😂😂😂
Sasa wewe ukiona green net mbili upanga unashikwa na nyege.

Look at this Kilimani photo alone. Kuna zaidi ya mjenga tisa under construction and this is just one random pucture.
0fd09efcaa424ad491e6534e3a4ef9d3_387740123_1680103802499701_6780454951098499668_n.jpg
 
Back
Top Bottom