Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya watakuonesha Mama Ngina Development; wakati Tanzania inafanya National Development

View: https://youtu.be/98OCQCDGDaA?si=VZk5r5BDSm0wNpLY

Mama Ngina’s wealth keeps rising courtesy of you Bongolalas since she lives rent free in your heads…🤣🤣🤣
IMG_2697.jpeg
 
Ila nyie ndugu wabishi, asingekuwepo mngesema no Kenyans care, ila akiwepo mnasema hammjui, kama yule wa EACOP.

Shikilia moja ikiwa Raia wenu manawakana ili kuepusha kukiri what the?

Nakumbuka ulisema kwenye maandamano dhidi ya EACOP sio wakenya ukaletewa ushahidi ukala kona kua yeye ni insignificant, swali: Ni mkenya or?

Na hao followers wake wote huwaoni?

Mpaka anaandaa makala ya Gazeti za the Star.
Kitu yafaa uelewe ni kwamba, out of 50M Kenyans, lazima kuna mmoja ataongelea kinachoendelea Tanzania. Kulingana na arguments zenu ni kwamba Wakenya wanafuatilia sana mpira wa Tanzania alafu mnaquote tweets za mwanahabari mmoja asiyesjulikana ambaya anaripotia media yake eti sasa hiyo ndio proof. Ndio maana tunawaambia huyo ni insignificant. Halafu hakuna mahali nimemkana huyo Okinyi, nimesema tu ni mwanahabari mdogo hata ukiangalia tweets zake hazina engagement , unapata comment tano pekee lakini mmeshinda mkimquote humu hadi mmempea umaarufu kumaanisha mnataka sana validation ya Wakenya. Na usiwe mnafiki, mlionyeshwa Baba Levo humu akisema Nairobi imezidi Dar kwa mbali mkasema Baba Levo ni insignificant.

Kuhusu maandamano ya EACOP nilisema yalifanyika UK na France na Uganda. Mkenya mmoja kati ya maelfu ya waandamanaji alafu mseme Wakenya waliandamana? Nina uhakika kwa hao waandamanaji kulikuwa na Mtanzania, mbona hamjamsema huyo mtanzania? Uganda yenyewe ina movement inayopinga hiyo pipeline na wamefanya maandamano Kampala dhidi ya hiyo pipeline, hapo Tanzania pia mngeandamana tu ila nyie ni waoga na mna authoritarian regime. Mbona ni huyu Mkenya mmoja tu ndio mnaongelea? Media zenu zinapenda kupanda chuki kwa wakenya ndani yenu.

Lakini nani aliroga hawa majirani ...
View attachment 2949014
Air Tanzania is making a similar but bigger mistake that Kenya Airways made in the early 2010s. They are so focused on expanding they forget the company has to be healthy. Kenya Airways bought a lot of planes in early 2010s and the rapid expansion saw the airline go to its knees. Nasema ya ATCL ni makosa kubwa zaidi kisa ATCL bado changa sana hata haijatengeneza profit yake ya kwanza washaanza kununua ndege kiubabe. Kenya Airways ilifanya rapit expansion wakati ikiwa ranked the best airline in Africa na ikiwa na profits kibao yet haikusucceed sasa hawa wanamake losses kila mwaka wanangángánia expansion. Sahii tunavyoongea KQ imepunguza ndege kutoka 54 hadi 35 ndio ianze kukua kwa akili na upole na ndio imepata profit ya kwanza kwa miaka 7.Save this comment mtakuja kuniambia.
 
Watching live World cross country championships…. As usual Kenya 🇰🇪 killing it…. Our mixed relay team won by a mile .. unbelievable!.. 2 more races to go .. senior women and Men…. Am trying but I can’t find our southern neighbor… probably they are busy stuck on that CAF league nobody knows about…🤣🤣🤣🤣
 
Air Tanzania is making a similar but bigger mistake that Kenya Airways made in the early 2010s. They are so focused on expanding they forget the company has to be healthy. Kenya Airways bought a lot of planes in early 2010s and the rapid expansion saw the airline go to its knees. Nasema ya ATCL ni makosa kubwa zaidi kisa ATCL bado changa sana hata haijatengeneza profit yake ya kwanza washaanza kununua ndege kiubabe. Kenya Airways ilifanya rapit expansion wakati ikiwa ranked the best airline in Africa na ikiwa na profits kibao yet haikusucceed sasa hawa wanamake losses kila mwaka wanangángánia expansion. Sahii tunavyoongea KQ imepunguza ndege kutoka 54 hadi 35 ndio ianze kukua kwa akili na upole na ndio imepata profit ya kwanza kwa miaka 7.Save this comment mtakuja kuniambia.
The difference is ours ( Mawingu initiative) was derived by economics at the time but theirs is derived by inferiority complex… it’s all about to one day say ..” our Airline is bigger than yours “…. They try so hard to outperform us they end up making stupid decisions…
 
Wanadhani Airline business ni mabasi za kuenda mikoani. Wacha kiwarambe.
 
Back
Top Bottom