Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wazima wanapigwa viboko na kunusurika kukanyagwa kutokana na maandalizi mabovu... Kuna uhakikisho gani haya mambo hayata shuhudiwa 2027

View: https://twitter.com/PresenterNoah/status/1774328037695222134?t=E1R5aaxGOXfEtizbaptALg&s=19

Hii inaonesha jinsi gn Tanzania ni footballing nation, watu wametoka mbali Mbeya, Iringa, Rukwa, Kigoma, bukoba, Kenya, Zambia, Rwanda, Congo, Burundi, Uganda etc alafu unawaambia wasiingie eti uwanja umejaa, hawawezi kukuelewa.
 
One thing I have realized with Tanzanians is that they are very desperate for validation from Kenyans. NairobiWalker what do you think might be the issue with these neighbors?
Mpumbavu wewe who need your validation, tunaonesha hivyo kwasababu wewe fala ulisema hakuna Kenya anayecare na kwamba hamfatilii.

Hapo unaoneshwa, usijipe umuhimu.
 
Unajua maumivu yamatoka wapi?
Jana waliandika humu huyo Carol Radull ndio muandishi mkubwa wa michezo, nikaona wacha nipost makusudi hiyo tweet nione vilio, na nimefanikiwa kwenye hilo la kufanya popoma atoe milio. 😂😂😂
Na Alafu anasema sisi tunataka Validation wakati wenyewe ndio wanasema Wakenya hawafatilii
 
Kenya Kuna sehemu mbili huwa zinaface insecurities occassionally. North Eastern sababu ya alshabaab na Baragoi sababu ya Cattle Rustling. Hizi sehemu pia ni name na hazina watu wengi otherwise Kenya is very safe. Ikumbukwe pia Kenya ndio kiongozi wa media freedom hii region kwa hivo unlike nyinyi wenye visa vingi vinakuwa unreported, hapa Kenya hata mtu mmoja akiuawa inakuwa news all over.
Si mna KDF? Au vipi?
 
Ngoma ilianza NOBODY CARE ABOUT CAF, NO KENYANS CARE ABOUT TZ, NO KENYANS WATCH TANZANIA MATCH, nyenyenye.

Mmepigwa mapicha na video kama zoote, ngoma sasa.

TANZANIA NEED VALIDATION ndio kelele cha sasa.

Wanadhani humu ni wasahaulifu kama wao.
 
Kenya Kuna sehemu mbili huwa zinaface insecurities occassionally. North Eastern sababu ya alshabaab na Baragoi sababu ya Cattle Rustling. Hizi sehemu pia ni name na hazina watu wengi otherwise Kenya is very safe. Ikumbukwe pia Kenya ndio kiongozi wa media freedom hii region kwa hivo unlike nyinyi wenye visa vingi vinakuwa unreported, hapa Kenya hata mtu mmoja akiuawa inakuwa news all over.
Hazina watu wengi so hata hao wachache hamtaki waishi kwa amani? Mzee that's discrimination kwa wananchi kuishi kwenye ardhi ya Kenya.

Visa vingi vyetu unreported from where?
 
Sio cc ni CAF na FIFA ukawalilie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Compare and contrast

Makwapa Stadium
IMG_0138.png

Kasarani Stadium

1711892917890.jpeg
 
Hazina watu wengi so hata hao wachache hamtaki waishi kwa amani? Mzee that's discrimination kwa wananchi kuishi kwenye ardhi ya Kenya.

Visa vingi vyetu unreported from where?
Visa vya Tanzania vingi havikuangi reported. Your government is known for dscouraging reporting of negative news about your country.
 
Back
Top Bottom