ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huyo mchungaji ni mkenya au mtanzania?🤣Magari ya mchungaji😅
Kweli sio Berlin, brt lane kwenye intersection bila traffic lights. Wajerumani sio wajinga kiasi hiko
View: https://twitter.com/IAMartin_/status/1774350980735221979?t=g0XS-dWB_Kt9z3w1YLSLKw&s=19
Sasa hii inatofauti Gani na vijiji vya huko Moshi Kilimanjaro? Kwanza your roads are dirty
Watakufa bodaboda wasiokia na akili na Hilo ni funzo kwa wenzao piaTraffic light kwa incoming traffic la sivyo mtakufa hapo mpaka kiama
Tofauti ni kwamba hapo vijijini ni mashamba, hapo Loresho ni mjini kuna majengo yet bado tumemanage kupreserve greenery. Sii rahisi kupreserve greenery mahali kuliko na majengo mengi.Sasa hii inatofauti Gani na vijiji vya huko Moshi Kilimanjaro? Kwanza your roads are dirtyView attachment 2950304
Road design ndio mbayaBoda boda kapiga kitu ya wapi
Yako wap hayo majengo? Mna vijiji ndani ya miji tu.Tofauti ni kwamba hapo vijijini ni mashamba, hapo Loresho ni mjini kuna majengo yet bado tumemanage kupreserve greenery. Sii rahisi kupreserve greenery mahali kuliko na majengo mengi.
Hakuna mambo ya Road design. Wew ndo mashamba wa BRT system.Road design ndio mbaya
Acha ujinga. Mimi naongelea uchafu yenye iko hapo around ya Huyo jamaa amekaa.Ushamba ni mzigo.
Bila shaka unadhani hizo pits zimejitokeza tu bila kufanyiwa maintenance.. hizo pits zinatumika kwa michezo ya LONG JUMP
View attachment 2950153View attachment 2950154View attachment 2950155
Hii nchi inalaana mbaya Sana
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1774508956989133221?t=Qahc7a62AOyTHGpqqfY1nw&s=19
Road design ndio mbaya kivipi ww ulitaka ijengwe vp na wap?? Kuendesha gari au pikipiki ni lazma uwe makini mbona hushangai ajali za Kenya kila siku zinaua watu na hzo pia ni design mbaya?? Nonsense 🤣Road design ndio mbaya
Kwahyo kumbe huo ni uchafu mzee.? 😂😂😂 Lakini sio kwamba hiyo rangi ya kijani imepeuka? Juu uwanja haujafanyiwa ukarabati mkubwa for almost 17 years?Acha ujinga. Mimi naongelea uchafu yenye iko hapo around ya Huyo jamaa amekaa.
View attachment 2950323